Je unayakumbuka haya majina??

May 28, 2013
91
17
Je waikumbuka RTD? Deborah mwenda, Sarah
Dumba, Julius Nyaisanga, Charles Hillary, Eshe
Muhidin, Florian Kaiza, Tumbo Risas, David Wakat,
Halima Kihemba, Bety Mkwasa, January Constatine,
Lando Mabula, Ben Kiko, Abubakar Lyongo, Sued
Mwiny, Abisai Steven, Nswima Ernest, Malima Ndelema, Richard Leo, Mohamed kisengo, Ahmed
Jongo, Christna Chokunogela, Shaban Kisu, Jakob
Tesha, Salim Mbonde, Sekion Kitojo, Dominic
Chilambo, Ahmed Kipoz, Fatma Kipoz, Ezekiel
Marongo, Abdul Ngalawa, Omar Jongo. Je ulikuwa
wapi na ulikuwa unafanya nin? Hasa yupi kati yao alikukosha sana?
 
Manzese Kitambo! Deborah Mwenda na Kipindi Chake cha Mama na Mwanaa! Chezea Ua Jekundu wewe!
 
Salama Mfamao,Halima Mchuka.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mie siwakumbuki kabisaa kwa sababu yaliyopita si ndwele nakumbuka baba wa taifa tu kwa kuwa alileta amani na upendo hila stamkumbuka Rais yoyote
 
Jacob tesha: Wao bila (simba sc) sisi 2 (dar young african)

Aliyesema hivi na Ahmed Jongo. Jacob Tesha na mprira hawakuwa karibu, ila akisoma taarifa ya habari, ilikuwa saaaafi saana!!!! Nilikuwa namfurahia Ben Kiko hasa wakati wa vita na Uganda ya Idi Amini
 
Je waikumbuka RTD? Deborah mwenda, Sarah
Dumba, Julius Nyaisanga, Charles Hillary, Eshe
Muhidin, Florian Kaiza, Tumbo Risas, David Wakat,
Halima Kihemba, Bety Mkwasa, January Constatine,
Lando Mabula, Ben Kiko, Abubakar Lyongo, Sued
Mwiny, Abisai Steven, Nswima Ernest, Malima Ndelema, Richard Leo, Mohamed kisengo, Ahmed
Jongo, Christna Chokunogela, Shaban Kisu, Jakob
Tesha, Salim Mbonde, Sekion Kitojo, Dominic
Chilambo, Ahmed Kipoz, Fatma Kipoz, Ezekiel
Marongo, Abdul Ngalawa, Omar Jongo. Je ulikuwa
wapi na ulikuwa unafanya nin? Hasa yupi kati yao alikukosha sana?
Debora Mwenda hasa jmosi saa 8 na kipindi cha mama na mwana hasa ile hadith ya AKAJASEMWAMBA zamani sana 1983
 
1.Abdallah Idrisa Majura aka mzee wa kipusa ndani ya chemsha bongo na radio one stereo.

2. Rose Chitara aka rc computer ndani ya kipindi cha chaguo la msikilizaji radio one sterio hasa wakati akitamka namba za simu kwa tarakim moja moja (2700588) alinikosha sana.

3. Masoud Kipanya na Kaka Bonda plus mama Rahmanino(RIP) ndani ya chuchuchu clouds enzi hizo.

4. Watangazaji wa rtd kipindi cha majira kama ifuatavyo:
-Nswima Ernest (kanda ya kati Dodoma)
-Ben Kiko (Tabora)
-Richard Leo (Musoma)
-Ahmed Jongo (sijui)
-Salim Mbonde(sijui)

5. Rando Mabula na Malima Ndelema ndani ya chaguo la msikilizaji rtd

6. Lenard Mambo Mbotela ndani ya KBC kipindi cha huu ni uungwana

7. Elisia Isabula rtd mama na mwana

8. Janeth Sosthenes Mwenda Talawa akiwa radio one akisoma taarifa ya habari

9. Rehema Mwakangale (RIP) ITV taarifa ya habari

10. Wengine nikiwakumbuka ntawatajieni.
 
Manzese Kitambo! Deborah Mwenda na Kipindi Chake cha Mama na Mwanaa! Chezea Ua Jekundu wewe!
Vp mkuu kuhusu ADILI NA NDUGUZE au BINT CHURA, kipind hicho ilikuwa raha sana kusikiliza radio siyo sasa radio zimejaa ujinga tu
 
1.Abdallah Idrisa Majura aka mzee wa kipusa ndani ya chemsha bongo na radio one stereo.

2. Rose Chitara aka rc computer ndani ya kipindi cha chaguo la msikilizaji radio one sterio hasa wakati akitamka namba za simu kwa tarakim moja moja (2700588) alinikosha sana.

3. Masoud Kipanya na Kaka Bonda plus mama Rahmanino(RIP) ndani ya chuchuchu clouds enzi hizo.

4. Watangazaji wa rtd kipindi cha majira kama ifuatavyo:
-Nswima Ernest (kanda ya kati Dodoma)
-Ben Kiko (Tabora)
-Richard Leo (Musoma)
-Ahmed Jongo (sijui)
-Salim Mbonde(sijui)

5. Rando Mabula na Malima Ndelema ndani ya chaguo la msikilizaji rtd

6. Lenard Mambo Mbotela ndani ya KBC kipindi cha huu ni uungwana

7. Elisia Isabula rtd mama na mwana

8. Janeth Sosthenes Mwenda Talawa akiwa radio one akisoma taarifa ya habari

9. Rehema Mwakangale (RIP) ITV taarifa ya habari

10. Wengine nikiwakumbuka ntawatajieni.

Huyo no8 alikuwa akinikosha kweli mwenyew akijiita janiii mpaka raha cjui yuko wap.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom