mizy gajo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 801
- 888
yeyote cha muhimu akupe mbunye..
--Mlevi
--Mwizi
--Mchafu
--Mkorofi
Cc Zero IQ
--Mlevi
--Mwizi
--Mchafu
--Mkorofi
Cc Zero IQ
Mi katika wote naona bora MCHAFU.
ataisoma lazima ajifunze atashangaa ashaanza kushika bible mkononi. Yani nitatafuta watu wakubwa mtaani wakumsema kuanzia wachungaji mpaka kwa wazee wa balaza
Mwizi ni lazima atakuwa mwongoYoyote ule but asiwe muongo
Ni kweli, mchafu unaweza kuwa msafi kwa niaba yake kwa hiyo mtakuwa wasafi tuMi katika wote naona bora MCHAFU.
Hapana mkuu mimi napenda ukweli kama nini, aibe but akiri kuwa yeye ndie kaibaMwizi ni lazima atakuwa mwongo
--Mlevi
--Mwizi
--Mchafu
--Mkorofi
Cc Zero IQ