Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,564
- 6,745
Pendekezo la Wizara za Jamhuri ya Muungano
1. Menejimenti ya Utumishi wa Umma
2. Utawala Bora
3. Muungano, Mahusiano na Uratibu
4. Mazingira, Maji, Maliasili na Utalii
5. Katiba, Sheria, Sera, Bunge
6. Uwezeshaji, Uwekezaji, Viwanda, Biashara Ushirika na Kazi
7. TAMISEMI
8. Fedha
9. Mambo ya Ndani
10. Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ikiwemo EAC
11. Jinsia, Wazee, Vijana na Watoto
12. Ulinzi na JKT
13. Kilimo, Mifugo, Uvuvi na Chakula
14. Elimu, Sayansi na Teknolojia
15. Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
16. Nishari na Madini
17. Ujenzi na Uchukuzi
18. Afya na Ustawi wa Jamii
19. Habari, Burudani na Utamaduni
Ingawaje bado naona bado wizara ni nyingi lakini hakuna wizara kubwa hapa kwani ni urefu tu wa jina (wingi wa maneno si ukubwa wa wizara na kinyume chake ni sahihi); kulichozingatiwa hapa ni logical linkages kati ya majukumu; na pia idara zinaweza kutokana na maneno kwenye wizara zenye maneno mengi ingawaje si lazima.
Mawaziri 24 tu asiyeweza kazi atambae probation ni mwaka mmoja tu na atakayeshindwa kwenye probation ajue hakuna malipo yoyote ya kuastaafu na atafunguliwa kesi mahakamani ya uzembe kazini na kulisababishia hasara kubwa taifa malengo na vigezo vitawekwa na M&E (focusing on outcome and impact) itakuwa rigorous.