Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
kuna vidudu vinaitwa washawasha akikutambaa yule hadi ngozi utahisi inawaka moto, japo upupu nao ukikupatia kwenye jua kali halafu ukuingie kama kwenye nywele hivi utahisi ndo kifo chakoHiyo kitu inawasha kuliko kitu chochote duniani.
unaujua vzuri upupu? acha mchezo kabisa.kuna vidudu vinaitwa washawasha akikutambaa yule hadi ngozi utahisi inawaka moto, japo upupu nao ukikupatia kwenye jua kali halafu ukuingie kama kwenye nywele hivi utahisi ndo kifo chako
mkurunga au rufijiNapataje upupu kwa Dar
Nenda mkuranga au rufiji...Upupu ntapata wap kwa DAR?
Nakumbuka sana hii kitu. Walio wahi kuogelea mtoni wanaijua vizuri. Ilikuwa inapakwa juu ya mawe. Ole wako uende ukalale juu ya jiwe. Lazima ulie kama mbwa mwizi