neema shamuhenya
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 312
- 216
asante sana ubarikiwe sanaLeo naona umeamkia JF,nishasoma nyuzi zako hapa si chini ya 5 within 30 minutes,lazima na wewe uwe maarufu hapa...keep it up!
asante sana ubarikiwe sanaNapenda Sana Mada zako za kuelimisha
jibu kwanza nini maana ya msimbomilia?Mi nakupenda mno naomba uwe mchepuko wangu
mi mkulima wa viazi huku uwemba njombe hayo mambo nitayajulia wapi?...jibu kwanza nini maana ya msimbomilia?
hahaha utakosa demu shauri yako..huwezi jua kwann kauliza hilo swali labda Bahati itamuangukia mwanaume atakayejibu swali lakeh
mi mkulima wa viazi huku uwemba njombe hayo mambo nitayajulia wapi?...
Asije akasema mchepukomiliajibu kwanza nini maana ya msimbomilia?