IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,844
Ni ile ya kusukia ukili kwa ajili ya mikeka, inauzwa sokoni.Dah! Hebu nielekeze ukindu ni nini?niujue aisee
Ni ile ya kusukia ukili kwa ajili ya mikeka, inauzwa sokoni.Dah! Hebu nielekeze ukindu ni nini?niujue aisee
.. Nenda Masoko ya uswahilini uliza wapi wanauza ukindu utapata, upo mpaka huko mijini.Nishaukumbuka,ila unapatikanaje?hasa mtu ukiwa town
Sio kweli. Yesu alikuja baada ya binadamu kuwepo na kuishi ktk dhambi binadamu ndio akatumwa yesu kuja kutukomboaYesu yupo kabla ya Binadamu kuumbwa.Yesu alishiriki kuumba Binadamu.Kabla ya Adamu na Eva Yesu alikuwepo.