binjo
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 2,115
- 1,247
Roho Mtakatifu na Yesu nani alianza kuwepo?Roho Mtakatifu.
Roho Mtakatifu na Yesu nani alianza kuwepo?Roho Mtakatifu.
Sio utani bali ndo ukweli wenyweAcha utani
Roho Mtakatifu na Yesu nani alianza kuwepo?
Hapana mkuu hapa lazima tupatee ALFA NA OMEGA ukinambia woooote walikuwepo haunidanganyi kweliii?Wote Wapo tangu milele na wataendelea kuwepo.
Yesu tu ndo dawa ya wachawi
Ukindu ni aina ya Nyasi pana kama nusu inchi au inchi moja hivi zilizokauka hutumika sana kwa kusukia Mikeka ya kukalia,mapambo,kuanikia unga au mahindi mara nyingi haupakwa rangiUkindu ndo nini? Kama mahali nilipo hakuna ukindu, naweza kutumia nini mbadala?
TIBA NDOGO YA KUJIFUNGUA
WAKATI WA KULALA CHUKUA UKINDU MMOJA KISHA NUIA.
SEMA( MM FLAN BIN FLAN NIMEFUNGWA ILA ALIYENIFUNGA SIMJUI,NA SIJUI KAMA MWANAUME AU MWANAMKE, BASI NA MM NAJIFUNGA.)KISHA FUNGA UKINDU HUO NA UWEKE CHINI YA MTO HALAFU LALA.
UNAPOAMKA ASUBUHI SEMA NILIJIFUNGA MWENYEWE NA NILIFUNGWA NA NISIYEWAJUA. BASI NIKIFUNGUA NIFUNGUE VIFUNGO VYOTE NA NIWE HURU. KISHA FUNGUA HALAFU HIYO KAMBA KAITUPE ILA SIO JALALANI
KWA UWEZO WA M/MUNGU UZITO UTAPUNGUA
Duh, mapambo hayo huwa nayaona kweli ila sijui yanapatikana wapi hasa kwa tunaoishi dar, vp hakuna mbadala?Ukindu ni aina ya Nyasi pana kama nusu inchi au inchi moja hivi zilizokauka hutumika sana kwa kusukia Mikeka ya kukalia,mapambo,kuanikia unga au mahindi mara nyingi haupakwa rangi
Kama ukindu utapotea itabidi ujifunge kwa Nondo, hapo ukifungua mkuu unaweza kukutami namtaka huyo aliye nifunga najua nitamalizana nae vp, maana hii tiba kama ikitokea purukushani usiku huo ukindu ukapotea nitakua nipo selo hadi mwisho sio? hivyo sitaki namtaka mfungaji nimweleweshe vizuri jambo alilofanya sio zuri asirudie tena.
Duh, mapambo hayo huwa nayaona kweli ila sijui yanapatikana wapi hasa kwa tunaoishi dar, vp hakuna mbadala?
Nauliza Hivi:-wale mapepo ambao hua wanatolewa makanisani hua wameingiaje hadi ndani ya kanisa? Maana tunakubaliana sote kua pepo chafu haliwezi kukanyaga eneo takatifu.Yesu ndio kiboko ya Uchawi na nguvu za giza.Njoo kwa Yesu upate Amani.
Nishaukumbuka,ila unapatikanaje?hasa mtu ukiwa townUkindu ni aina ya Nyasi pana kama nusu inchi au inchi moja hivi zilizokauka hutumika sana kwa kusukia Mikeka ya kukalia,mapambo,kuanikia unga au mahindi mara nyingi haupakwa rangi
Nauliza Hivi:-wale mapepo ambao hua wanatolewa makanisani hua wameingiaje hadi ndani ya kanisa? Maana tunakubaliana sote kua pepo chafu haliwezi kukanyaga eneo takatifu.
Sasa inakuaje mapepo haya yanaingia mpaka kanisani mpaka hapo mchungaji aanze kupiga kelele na kuyatoa,
Mkuu nina uhakika kama eneo unalokaa kuna wangoni na wanyakyusa wengi waulize hapo lazima watakuwa wanafahamu hiliii JASIRI AACHI ASILINishaukumbuka,ila unapatikanaje?hasa mtu ukiwa town
Tutaacheje kwa mfano asili yetu.Itabidi kuwe na jukwaa la uchawi,ulozi,uganga na uaguzi...
Mmekuwa wengi.