Je unatambuaje kama umefungwa kichawi?

Kwa mtiririko huu hasa wakati huu wa baba janet hakuna ambaye hajafungwa kichawi, kwa kua waganga ndo wanasoko awamu hii mana kila ntu anahisi amelogwa, tusaidie bure kutupa suluhisho
 
Ukindu ndo nini? Kama mahali nilipo hakuna ukindu, naweza kutumia nini mbadala?
Ukindu ni aina ya Nyasi pana kama nusu inchi au inchi moja hivi zilizokauka hutumika sana kwa kusukia Mikeka ya kukalia,mapambo,kuanikia unga au mahindi mara nyingi haupakwa rangi
 
Kama ni Mungu iwe Mungu na kama ni ukindu iwe ukindu, unaweza kuwa moto au baridi lakini huwezi kuwa na hali zote mbili at a time
 
Ukindu ni aina ya Nyasi pana kama nusu inchi au inchi moja hivi zilizokauka hutumika sana kwa kusukia Mikeka ya kukalia,mapambo,kuanikia unga au mahindi mara nyingi haupakwa rangi
Duh, mapambo hayo huwa nayaona kweli ila sijui yanapatikana wapi hasa kwa tunaoishi dar, vp hakuna mbadala?
 
mi namtaka huyo aliye nifunga najua nitamalizana nae vp, maana hii tiba kama ikitokea purukushani usiku huo ukindu ukapotea nitakua nipo selo hadi mwisho sio? hivyo sitaki namtaka mfungaji nimweleweshe vizuri jambo alilofanya sio zuri asirudie tena.
Kama ukindu utapotea itabidi ujifunge kwa Nondo, hapo ukifungua mkuu unaweza kukuta
umewafungua mpaka watu wa nyumba Jirani.
 
Yesu ndio kiboko ya Uchawi na nguvu za giza.Njoo kwa Yesu upate Amani.
Nauliza Hivi:-wale mapepo ambao hua wanatolewa makanisani hua wameingiaje hadi ndani ya kanisa? Maana tunakubaliana sote kua pepo chafu haliwezi kukanyaga eneo takatifu.
Sasa inakuaje mapepo haya yanaingia mpaka kanisani mpaka hapo mchungaji aanze kupiga kelele na kuyatoa,
 
Ukindu ni aina ya Nyasi pana kama nusu inchi au inchi moja hivi zilizokauka hutumika sana kwa kusukia Mikeka ya kukalia,mapambo,kuanikia unga au mahindi mara nyingi haupakwa rangi
Nishaukumbuka,ila unapatikanaje?hasa mtu ukiwa town
 
Papa Fransis Juzi kasema Watu watofautishe kati ya Uislamu na Ugaidi.Kasisitiza kwamba Uislamu sio Ugaidi.Kuna haja ya kupiga vita Ugaidi bila kuigusa dini ya allah.
 
Nishaukumbuka,ila unapatikanaje?hasa mtu ukiwa town
Mkuu nina uhakika kama eneo unalokaa kuna wangoni na wanyakyusa wengi waulize hapo lazima watakuwa wanafahamu hiliii JASIRI AACHI ASILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…