Uandishi uharowanajamvi habari ya hasubuh?
Natumai mu wazima wa afya, kutokana na ongezeko la uitaji nwa fedha kwa wajasiriamali wengi nchini, na pia kutokana uwepo wa mizengwe mingi, katika upatikanaji wa uduma ya kifedha kwa wajasiriamali wa ngazi mbar mbari nchini, sisi kama vijana wenye uzoefu wa kutosha katika utoaji wa uduma za kifedha nchini, tumeamua, kuwa tayari kuwasaidia, kuondoa mizengwe na kukutengenezea mazingira rafiki ya upatikanaji wa uduma ya kifedha kutoka kwenye mashirika ya kifedha nchini.
kwanza kwa kukushauri, kiasi unachoweza kukiomba kulingana na mzunguko wako kibiahsara, ili tumeona ni moja ya jambo ambalo Mabenki mengi uliangalia kabra ya kumpa mtu mkopo, lakini pia kulingana na target za maafsa wengi wa benki,na tamaa za wateja mara nyingine uperekea mteja kuwa overfinanced, jambo ambalo mwishowe uperekea mteja kushindwa kulipa mkopo.
kabra hatujakuunganisha na Benki yyte tunakupa ushauri wa kuepukana na hili mwanzoni kabsa.
Pili, multilple loan, kutokana na kitendo cha wateja wengi wa mabenki mengi nchini kupenda kukopa mikopo kutoka benki mbarmbari wakidhani ni moja ya njia ya kupiga atua kibiashara, sis kama wazoefu wa mambo ya kimikopo, tumeona ili nalo ni moja ya sababu ya watu wengi kushindwa kulipa vizuri na mwishowe kuishia kupoteza mali zao, na sasa tunatoa elimu nzuri kabsa jinsi ya kuepuakana na ili kwa kukuunganisha na Benk inayokidhi marengo yako na si kukupa fedha ambayo itakurazimisha ukakope kwngine na mwishowe ushindwe kulipa.
Dirvison of Loan, mniwie radh kwa kuchanganya lugha, ila ninalengo la kutaka wateja wangu wanielewe, kuwa malengo yanayokutuma ukaombe mkopo ni mhm kuyazngatia baada ya kuomba na lupata fedha, kufanya kinyume na hapo mwishowe huwa ni kushindwa kulipa mkopo.tunatoa elimu ya kibiashara ya kutosha ili kuepukana na adui, diversion.
Nidhamu ya mkopo(loan displine), kumekuwepo na ongezeko la wafanya biashara wano amini kuwa fedha za mikopo nyingi ni za FREEMASON, kira kukicha na chanzo ni kitendo cha zile fedha kutokukaa mikononi mwao. fedha ya mkpo ndugu yangu mfanya biashara si ya freemason ila adui mkubwa wa zile fedha ni misdispline tu na si vinginevo.tutakuelimisha kuhusu hili kiundani, pale tutakapo wasiliana.
UNDUGU NA FEDHA ZA MKOPO, nimelazimika sanaaaa, kuandika point hii kwa elfu kubwa ili nieleweke vyema, huyu pia ni adui najua watu wengi hasa mlio soma biashara ila nalizungumza ili kwa uzoefu wangu, wa kutoa mikopo kwa miaka mitano wateja wangu wengi walikumbwa na tatizo la kuwashirikisha ndugu zao katika biashara, paspo kuwambia hizo fedha za biashara zimetpka wapi?, ili nalo sisi tumeona ni tatzo na tunalitolea ufafanuzi mzuri sanaa, tafahdali sana
ndugu yetu mtazania mfanyabiashara, husiogope kukopa, kopa upige hatua, njoo tukuunganishe na wakopeshaji wenye nia nzuri.
Epuka, mikopo kutoka kwenye Mabenki ya kipigaji, mabenki ambayo hayapo tayari kukueleza ukweli wa RIBA, zao kwa mwezi, sisi tunakuunganisha na Benki, na kukuelza riba za benki tunayokuunganisha nayo, hacha kufanya biashara kimazoea, fanya Kielimu zaidi.
Tafadhali kwa maelezo zaidi, piga no hizi, au NPM ili tuyajenge zaidi na kuakikisha tunapiga atua.
pia tunatoa uduma ya jinsi ya kuanzisha HOUSING LOAN. katika microfinance na mabenki kwa ujumla.
+255744204368 AU,+0714074054.(Tafadhali, piga au tuma ujumbe mfupi).
Manjaa, nakushukuru kwa kuniuku, ila sio kama ulivyo niita, kwa uandshi wako na mwitikio wako, lakini pia kipindi ulicho jiunga umu, jf, unanipa hekima sna ya kutopenda kujibizana na mtu kama wewe. i am a proffesional and experienced,on what i have writen, sijui mwenzangu ni mjuzi wa nini ila kwa ulicho kiandika si dhani km wewe ni mjuzi wa jambo fulani, maana msingi wa tahaluma, na ujuzi wajambo unatutaka sana kueheshimu juzi na tahaluma za watu wengine paspo kuwbagua, wara kuwatusi, kama kweli wewe ni mweredi basi niambie ni mweredi wa nini, pengine ninaweza vutiwa na weredi wako, na kuitaji uduma yangu.Tapeli tu wewe.
...mkuu kuelekezana sio kwenye suala sensitive kama hili!..yeye kajinasibu ni mtaalamu,alipaswa ajue hii ni taaluma!upiversity mbona umemkatisha saana tamaa jamaa vp mkuu..kwani utaalamu si unapatikana katika vyuo lukuki vilivyokuepo mkuu..ni vizuri kama amekosea muelekeze inavyotakiwa kuandika na si kumponda kiivyo woote tulianzia huko kutambaa mpaka sasa tumesimama..
poa mkuu hapo nimekuelewa unamaanisha nini.....mkuu kuelekezana sio kwenye suala sensitive kama hili!..yeye kajinasibu ni mtaalamu,alipaswa ajue hii ni taaluma!
....sidhani milioni 300 anajua hata inavyoandikwa!
haaa, wajinga ndo waliuwa!, sjui unauelewa gani juu, sheria ya mtandao, your comment is full of deffermation nikusihii, hata unapogundua kosa rekebisha kwa rengo la kuboresha, si kutusi, matusi hayakuongezei, umwamba,unaweza ukawa mdogo kiumri, matusi kwako ni ufahari kwa sababu ya barehe za wavulana wa mjini, nikusihi kuwa tenda wema kwa akutendaye mabaya.nimeandika vibaya nimekuudhi nitetendee vizuri kwa kunikosoa kwa kuandika kwa usahihi, vijana wa namna yenu mmeifanya jf, kiwe kijiwe cha makapu, nadhani sasa umefika wakati kira anae jiunga jf atoe cv na vyeti vyake, maana sasa mpaka mlio soma shule za kata, mnakuja na kashifa.Uandishi wa kindezi sana!...wewe ni kiazi mbatata kabisa,huwezi kuwa mtaalamu!
nadhani umeona utofauti wahekima za mweredi na hekima za kapuku, kama wewe, jifunze kutoka kwa weredi kama mwanajamvi alivyo kushauri, si kira unapoona jambo limeandikwa lazima uchangie, nani alyekwambia kuwa ukiwa wa kwanza kukoment ndo unapewa zawadi, hapa sio shule ya msing, this is the proffesional platfom, heshim ilo, natamai nijue wewe unae jua 300m inaandikwaje nijue umeisaidiaje jamii, kutokana na kujua kwako? mimi nimetangaza ujuzi wangu, kama huitaji uduma zangu si lazima ujadiri. nashukuru sana kukoselewa ni sehemu ya kujifunza ilawezi hakuna ulichonifundisha kukoselewa na watu wa namna yako bora nisikoselewe, maana weredi wako umekaa in negativity, ambayo huwezi kujenga.poa mkuu hapo nimekuelewa unamaanisha nini..
....teh teh teh teh...yani hata wewe mbulula unatamani JF watu wajiunge kwa CV na vyeti?...kama umeshindwa kuelewa somo hata la kuandika,uwezo wa kumshauri mtu kuchukua mkopo wa hata thumni huna!haaa, wajinga ndo waliuwa!, sjui unauelewa gani juu, sheria ya mtandao, your comment is full of deffermation nikusihii, hata unapogundua kosa rekebisha kwa rengo la kuboresha, si kutusi, matusi hayakuongezei, umwamba,unaweza ukawa mdogo kiumri, matusi kwako ni ufahari kwa sababu ya barehe za wavulana wa mjini, nikusihi kuwa tenda wema kwa akutendaye mabaya.nimeandika vibaya nimekuudhi nitetendee vizuri kwa kunikosoa kwa kuandika kwa usahihi, vijana wa namna yenu mmeifanya jf, kiwe kijiwe cha makapu, nadhani sasa umefika wakati kira anae jiunga jf atoe cv na vyeti vyake, maana sasa mpaka mlio soma shule za kata, mnakuja na kashifa.
Me nirikuwa nataka mirion 6 kuripa hadi rini
Nizani nimeliona mwenyewe..kumbe tupo wengi.ata kumaliza kusoma nimeshindwa sababu kwa uhandishi huu Nina wasiwasi na elimu yake.Uandishi wa kindezi sana!...wewe ni kiazi mbatata kabisa,huwezi kuwa mtaalamu!
atuambie kwamkopo wa mirioni 6 Kuna liba kiasi gani? uwa wanashauli njia mbar mbar za kuripa. ni vema kujua Ilo manake Hii ni uduma ya kifeza kama uduma zengine.Me nirikuwa nataka mirion 6 kuripa hadi rini