Kwa wanaohitaj dawa ya mapenzi,ushauri na wapenz wazuri tutafute kupitia email (www.hamzaboywalyoba@gmail.com) au tufuate mojakwa moja kwenye mtandao wa facebook kupitia jina JURGE WALYOBA
usisite kututembele
Asante Jaji Warioba, ila hamna dawa ya mapenzi duniani. Hiyo post ilitaka kuwa ya jukwaa hili ila nakushauri uingeiweka kwenye jukwaa la matangazo madogo madogo
Asante Jaji Warioba, ila hamna dawa ya mapenzi duniani. Hiyo post ilitaka kuwa ya jukwaa hili ila nakushauri uingeiweka kwenye jukwaa la matangazo madogo madogo
mie natafuta dawa ya mapenzi kwa serikali yaani serikali iwe na mapenzi ya dhat kwa raia wake...........ukinihakikishia hii unayo utaniona mlangoni kwako wa kwanza