Je unasumbuliwa na Tatizo la mafuta mengi katika moyo na kuwa na kitambi kikubwa

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,753
9,568
JE UNASUMBULIWA NA TATIZO LA KUWA NA MAFUTA MENGI KWENYE MOYO NA KUTOKUWA NA NGUVU KWENYE MACHO YAKO AMA KUWA NA KITAMBI KIKUBWA KISICHOPONEKA?


ANTILIIPEMIC TEA
NI MAJANI YA CHAI AMBAYO YANA UWEZO WA KUREKEBISHA KIWANGO CHA MAFUTA KWENYE DAMU. MAJANI YA CHAI HAYA YATOKANAYO NA NA MIMIEA YA ASILI YA GYNOSTEMMA, CASSIA, SEED & LOTUS LEAVES KUTOKA CHINA. YANAZALISHWA KATIKA MAJANI, MBEGU NA MIZIZI YA MIMEA. AMBAYO YANA LADHA NA HARUFU NZURI AMBAYO HUKUFANYA HUJISIKIE VIZURI MUDA WOTE

MAJANI HAYA HUSAIDIA UYEYUSHAJI WA CHAKULA, KUVIPA NGUVU VIUNGO (BANDAMA NA TUMBO) HUSAIDIA KUPUNGUZA JOTO MWILINI KWA KURUHUSU MAFUTA KUCHOMWA NA KUTUMIKA NA KUUWEKA MWILI KATIKA HALI YA USAWA. INAPOTUMIKA KWA MUDA MREFU HUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO, KUSAFISHA INI, KUNG'ARISHA NGOZI YA MWILI NA KUIFANYA KUWA NA MUONEKANO MZUIRI ZAIDI. KUYAPA MACHO NGUVU YA KUONA, HUZUIA MENO KUWA DHAIFU , HUZUIA MVI KUOTA HARAKA NA KUREFUSHA UHAI WA MWANADAMU NA KUSAIDIA KUPUNGUZA MAGONJWA YA MISHIPA YA DAMU. NI NZURI KWA WATU WENYE MAFUTA MENGI NA WAZEE.


NATURAL VITAMIN E SOFT CAPSULE
KWA WANAWAKE WENYE MATATIZO YA HEDHI NA WANAOTEGEMEA KUPATA WATOTO NA HUFANYA NGOZI KUWA LAINI NA WENYE UPUNGUFU WA VITAMIN E
Lishe hii nzuri sana kwa wanawake kwani husaidia kuiweka ngozi yako nyororo na laini na kwenye ukosefu wa vitamin E na wenye upungufu wa kinga mwilini, Husaidia kuondoa mabaka mwilini, na kuimarisha ngozi.
Na pia nzuri kwa wanawake wenye matatizo ya hedhi na wanaotegemea kupata ujauzito au wenye ujauzito. Inasaidia katika kuzalisha mbegu za uzazi kwa kuamsha tezi za uzazi

VILEVILE KUNA MAJANI YA SLIMMING TEA
Yenyewe yana uwezo wa kupunguza kitambi kwa wenye vitambi vikubwa na kukufanya ujisikie flesh zaidi.

Kwa mawasiliano waweza zaidi na jinsi ya kuyapata haya majani wasiliana nami kwa no: 0653 247784 karibuni
 

Attachments

  • 11813396_836831633080044_2863442826930166241_n[1].jpg
    11813396_836831633080044_2863442826930166241_n[1].jpg
    7.2 KB · Views: 28
  • 11218077_836831456413395_4864589510121677904_n[1].jpg
    11218077_836831456413395_4864589510121677904_n[1].jpg
    6.1 KB · Views: 26

Similar Discussions

Back
Top Bottom