JE UNASUMBULIWA NA MAFUTA MWILINI, KITAMBI AU TATIZO LOLOTE LA KIAFYA ?

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,753
9,568
JE UNASUMBULIWA NA MATATIZO YA MAFUTA MWILINI, KITAMBI, AU MATATIZO YA TUMBO
KARIBU ETERNAL INTERNATIONAL BIOTECHNOLOGY

Umuhimu wa mwanadamu upo kwenye kujua hali ya AFYA yake ikoje , watalaamu na madaktari wanatushauri ni muhimu kupima na kujua afya yako ikoje lakini wengi wetu tumeshindwa kupima na kujijua kiafya je afya zetu ni mgogoro au ni njema tumebaki na dhana za kukaa bila kupima afya zetu na kujiona tuko sawa tu. ...
Afya njema haina thamani ya kuinunulia. Usione uvivu au taabu kupima afya yako. Sasa unayo fursa nzuri ya kupima afya yako bure kabisa itumie fursa hii usichelewe bado ipo
Kupima afya si lazimia uwe mgonjwa au unaumwa la hasha, tunaweza kujiona tuko kamili au fit kabisa na tuko ngangari kumbe afya zetu ni mgogoro vijiamaaradhi vinatunyemelea bila hata kujijua wenyewe mana twajiona fit kila wakati.

Njia rahisi ya kujua afya zetu na kujiona tuko fresh ni kupima mara kwa mara kitaalamu.

Usiopoteze fursa hii maridhawa kupima afya kama wewe unajijali. Kituo kipya cha afya kinachopima afya ya mwili wako wote (body checkup) bure bila kulipia kimetoa offer hii ya kupima kisasa kwa njia ya computer.

mambo wanayofanya
a) kupima afya
b) kupewa ripoti ya afya yako na ushauri bure

c) Kufanya massage ya mwili na miguu yako bure wakati ukiwa unasubiria majibu ya vipimo vyako

Vile vile unaushauriwa kujiunga nasi uwe mwanachama wa
ETERNAL INTERNATIONAL kma utapenda maana hailazimishwi ila ukijiunga Utafaidika na mambo mengi
ikiwemo kufanya biashara na kujikwamua katika lindi la
umaskini na kujiongezea kipato zaidi, USISITE karibu sana
ETERNAL INTERNATIONAL BIOTECHNOLOGY
KWA UPIMAJI WA AFYA YAKO

KWA MAELEZO ZAIDI NA JINSI YA KUFIKA KITUONI KWETU BASI NIPIGIE AU NITEXT KWA NO. 0784 960517 TUPO KAWE KARIBUNI SANA.

ANGALIA BAADHI YA DAWA NA MATIBABU YAKE
 
Attachments

  • AFYA.jpg
    AFYA.jpg
    252.4 KB · Views: 105

Ladyfurahia, what could be the reason for the low response to your post!
 
Hivi hizi bidhaa zinatofauti gani Na zile za kampuni ya EDMARK maana naona Kama Ndio zile zile tu tofauti majina
 
Back
Top Bottom