Je unaprint T-shirt?Tuongee biashara

Je unaprint T-shirt?Tuongee biashara

Aqua

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
1,657
Reaction score
1,237
habari wadau
samahani nahitaji mtu anayefanya shuguli ya kuprint maneno/logo kwente T-shirt.Nahitaji Tshirt Lacoste a.k.a form6 ,tisheti ziwe zenye ubora wa juu zitahitajika kama piece 20 kwa kuanzia baadaye idadi inaweza ongezeka.Pia itakuwa vizuri kama unaweza nipatia na kofia/cap ambazo nazo zitawekewa maneno/logo.
Nahitaji mtu ambaye ofisi yake iko Dar,Iringa au Mbeya to fauti na hapo do not key your keyboard.
Toa maelezo ya bidhaa zako na bei zake kama kuna grade.
T-shirt zitawekewa logo ndogo na maneneo mafupi chini yake,kama kutakuwa na mabadiliko utajulishwa.Natanguliza shukurani.
 
ninaprint maneno/logo kwenye tshirt na niko dar hivyo tuwasiliane kwa zaidi
nakupm
habari wadau
samahani nahitaji mtu anayefanya shuguli ya kuprint maneno/logo kwente T-shirt.Nahitaji Tshirt Lacoste a.k.a form6 ,tisheti ziwe zenye ubora wa juu zitahitajika kama piece 20 kwa kuanzia baadaye idadi inaweza ongezeka.Pia itakuwa vizuri kama unaweza nipatia na kofia/cap ambazo nazo zitawekewa maneno/logo.
Nahitaji mtu ambaye ofisi yake iko Dar,Iringa au Mbeya to fauti na hapo do not key your keyboard.
Toa maelezo ya bidhaa zako na bei zake kama kuna grade.
T-shirt zitawekewa logo ndogo na maneneo mafupi chini yake,kama kutakuwa na mabadiliko utajulishwa.Natanguliza shukurani.
 
Mcheki huyu ofisi yake iko mwenge 0716770881

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom