Je unapenda mchezo wa Tennis

Huyu ni ke au me? Au dumejike! Ama jikedume? Sielewi!
 
Wacha weee.

Badala ya soka mchezo mwingine ninaoupenda ni huu
 
ana 'mfuzi'....huyu ni kati ya the williams
 
Sawa sawa tena kama mimi ni hivo hivo na netiboli tu tena kwa raha na kuvunja mbavu

Tennis ndo mpango mkuu,netiboli siku hizi wanavaa vibanangozi hata hawapendezi Kama zamani teh teh teh..
 
Safi sana
Sawa sawa tena kama mimi ni hivo hivo na netiboli tu tena kwa raha na kuvunja mbavu

Nina uhakika unaenjoy sana
Kupita kiasi hasa pale mmoja anapokuwa na advantage kisha mwenzake anamuharibia au pale wakiwa wanapelekeana ndefu kisha mmoja anadondoshea karibu na nyavu si mchezo.

Kwa kweli huu mchezo naupenda mwanzo mwisho
 
Venus ni mwembamba mweusi.Huyu ni Serena bonge na mtumia mkorogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…