papiso
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 391
- 228
Habari zenu ni kipindi kirefu sana sijaandika kitu humu ndani anyway let me start , kumekuwa na malalamiko mengi sana juu ya kuchelewa kwa miamala inayokosewa ktk makampuni hususani mpesa na tigo pesa
Kuna sababu nyingi ila ntajaribu kizielezea moja baada ya nyingine
Kuna miamala ya aina nyingi na kila muamala una muda wake na njia zake naomba kwanza niilezee baina ya miamala
*muamala baina ya mteja kwa mteja
*mteja na wakala
*wakala kwa mteja
.*mteja na benk ,benk kwa mteja
*mteja kukosea kwa kampuni mfano malipo ya maji luku nk
*miamala ya huduma mfano kukosea kununua salio au bando umepanga kununua salio la 10000 ukanunua laki hii hairudishwi
Pia kuna miamala baina ya mteja wa mtandao mmoja kwenda kwa mwengine
Haina ya miamala ina changamoto sana maana mpaka sasa mitandao haina one system ambayo inaweza kuzuia hela ya mteja isitolewe
Hii inapelekea mkanganyiko sana kwa mteja endapo atakosea chance ya kurudishwa inakuwa ya mashaka nitoe mfano mtu wa tigo akikosea kutuma pesa kwenda mpesa ili hela yake iwe salama ni lazima narudia tena ni lazima awapigie watu wa voda wazuie ile pesa kwanza kisha ndio apige tigo kwa hatua za kurudishiwa sasa matatizo ya vodacom hasa kwa customer care wao nitayasemea baadae
Miamala baina ya mteja kwa mteja uwa napenda kutoa ushauri kabla hujatuma kwanza kabisa fanya conformation impigie simu unayemtumia hakikisha namba ni sahii na kiasi pia kabla ujaweka pin zako zingatia jina ukishatuma mpigie simu kujiridhisha ktk masuala ya hela haraka haraka haitakiwi
Tigo pesa hata mpesa miamala midogo midogo chini ya laki au 5k hurudishwa mapema sana inaporipotiwa ila kwa tigo bado kuna ukiritimba japo pia wanasababu zao miamala ya pesa ndefu hapo ndipo kuna tatizo kubwa sana
Endapo utagundua umekosea kutuma hela kutoka benk kwenda kwenye simu mtu awe wa mtandao wowote hatua ya kwanza iwe ni kupiga simu huduma kwa wateja hakikisha kwanza pesa ile imezuiliwa kwanza watu wengi wamekuwa wakiwapigia simu watu waliopokea pesa bila kujua kwa kufanya vile unakosea sometimes unaweza pokea pesa na meseji isiipate hivyo kumpigia simu ni kama vile unampa habari na hii ni kwa miamala yote