Nimejikuta kinshasa migombani ghafla!!Je, Unaelewa Lingala - Oyebi Lingala?
Sielewi Kilingala vizuri - Nayebi Lingala malamu te.
Ninaweza kuzungumza Kilingala - Nakoki koloba Lingala.
Watie moyo wote - Lendisa bandeko nyonso / nyoso.
Ulimwengu mzima - Mokili mobimba.
Tunakujua - Toyeba yo.
Ongea polepole - Loba malembe.
Ingia - Kota
Mwingine - Mosusu
Moyo safi - Motema pembe
Jamaa - Ndeko
Jamaa / ndugu - Bandeko
Hakika / haswa / nzuri / kweli! - Nde!
Sikiliza muziki - Yoka ndule / banzembo.
Hataki kusikiliza - Alingi koyoka te.
Wewe ni mpenzi wangu - Ozali bolingo na ngai.
Umenitupa / umenikataa - Oboyi nga.
Mbele, ni nani huyo? - Na liboso aza nani?
Mbele ya / kabla - Liboso
Una miaka mingapi? - Ozali na mibu boni?
Una mwanamke mwingine - Ozali nango mwasi mosusu.
Huna mwanamke mwingine? - Ozali na mwasi mosusu te?
Ngoma na mimi - Bina na ngai.
Tunaelewana vizuri - Toyokani malamu.
Umeziweka wapi? - Otiaki yango wapi?
Je! Ninapaswa kukupigia teksi? - Olingi nabengela yo taxi?
Usiongee sana. - Koloba mingi te
Asubuhi ya leo - Ntongo oyo.
(Sana) mapema asubuhi - Na ntongo penza.
Mchana / Jioni - Na mpokwa.
Siku imeanza - Tongo etani.
Wakati wa mchana - Eleko ya mokolo.
Usiku - Na butu.
Ni siku gani leo? - Lelo mokolo nini?
Jana / kesho - Lobi
Kesho baada ya kesho / Siku iliyotangulia jana - Ndele
Siku mbili zilizopita - Mikolo mibale eleki.
Kesho usiku / Jana usiku - Lobi na butu.
Ulikuwa wapi jana usiku? - Ozalaki wapi lobi na butu?
Tunakwenda wapi kesho? - Tokokende wapi lobi?
Tunakwenda pwani - Tokokende (na) libongo.
Ni Jumamosi - Ekozala na mposo.
Katika siku tano - Na nsima ya mikolo mitano.
Likizo - Eyenga
Siku mbali - Mokolo ya bopemi
Siku ya kazi - Mokolo ya mosala
Siku ya kuzaliwa - Mokolo ya kobotama
Wiki iliyopita - Poso eleki
Wiki ijayo - Poso ekoya
Mwezi mmoja - Sanza moko
Mwaka - Mbula
Siku nyingi zimepita - Mikolo eleki ebele / mingi
Wakati / saa - Ngonga
Mchana - Moyi / moi
Usiku - Butu
Mchana na usiku - Moyi na butu
Kila siku / Siku baada ya siku - Mokolo na mokolo
Siku moja kabla ya jana - Lobilobi
Ni baridi leo - Eza malili lelo.
Wakati gani? / Lini? - Ntango nini?
Pitia nyumbani kesho - Leka lobi na ndako.
Utafanya nini kesho jioni? - Lobi okosala nini na pokwa?
Mazingira mazuri - Ngwasuma
Miezi mingapi? - Basanza boni?
Je! Mwaka wako unaendaje? - Mbula oyo toza ezo leka ndenge nini?
Umepanga nini kwa mwaka ujao? - Obombeli biso nini po na mbula oyo ezoya?
Nitatumia Krismasi hapa lakini Mwaka Mpya utanipata jijini Nairobi - Nakolia bonane awa kasi, bonane ni siku ya Nairobi.
Tumeingia mwaka mpya - Tokoti sikoyo na mbula ya sika.
Karibu! - Boyei elamu!
Je, Unaelewa Lingala - Oyebi Lingala?

Wolof je?Lugha nzuri sana hii, ongeza maneno/sentensi nyingine aisee!
got itMuulize yeye.
Hujayafamu haya unaruka kidato?
Uko sahihi ndugu ni nchi tatu hizo ndio wanaongea lugha hiyo ya wolof lakni ngumu kiasi hasa ukiingia kwenye kutaja namba.Hiyo ni lugha inaongewa sana Senegal. Gambia na Mauritania.
Niko tayari kukoselewa
Hii lugha ni noma sanaUko sahihi ndugu ni nchi tatu hizo ndio wanaongea lugha hiyo ya wolof lakni ngumu kiasi hasa ukiingia kwenye kutaja namba.
Mfano wa namba 1999 (elf moja na mia tisa na tisini na tisa. Hiyo utaisema (junyi ak jurom nyenti teemer ak jurom nyenti fuk ak jurom nyenti).
Kuanzia mamoja haina shida iko simple.
1-benna, 2-nyar , 3-nyeti , 4-nyenti, 5 -jurom,
6-jurom benna, 7-jurom nyar, 8- jurom nyeti,
9-jurom nyenti, 10- fuk.
Hahahaaaaaa. Haya bwana kila lá heri.
Najua sana balaa lake.Hii lugha ni noma sana
Hapana noma ako byee! papa mulumba!!Hii lugha ni noma sana