Je, unajua kuwa kuna wauaji wa kimataifa wa uchumi wa nchi?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,994
Kuna nchi nyingi zaweza kujikuta uchumi wao unakufa na hali mbaya za maisha zinatokea. Kuna wauaji wa uchumi ambao huandaliwa maalumu kwa kazi hiyo kwa kazi ya kuua chumi za nchi zingine. Hawa wauaji wa uchumi wanaitwa ECONOMIC HITMAN.

Mmoja wa wauaji hao kaandika kitabu ambacho kinaeleza mauaji hayo yanavyofanyika na wauaji hao wanavyoandaliwa.Nakuwekea hapa ukisome.Kinataka utulie.Kinawafaa sana wanafunzi na walimu wa vyuo vikuu,wanasiasa na wataalamu mbali mbali watungao sera, wana usalama wa nchi nk.

Hiki hapa jisomee bure;

Full text of "Confessions of an Economic Hitman"
 
Inatisha, walimpata JK vizuri deni la taifa likapaa.
Magu asipostuka pamoja na gesi mpya kugunduliwa deni la taifa litaongezeka, thamani ya shilingi itashuka. Wanufaika watakuwa familia chache za watz na makampuni makubwa ya mbele.
 
For every $100 of crude
taken out of the Ecuadorian rain forests, the oil companies receive
$75. Of the remaining $25, three-quarters must go to paying off the
foreign debt. Most of the remainder covers military and other gov-
ernment expenses — which leaves about $2.50 for health, education,
and programs aimed at helping the poor. Thus, out of every $100
worth of oil torn from the Amazon, less than $3 goes to the people
who need the money most, those whose lives have been so adversely
impacted by the dams, the drilling, and the pipelines, and who are
dying from lack of edible food and potable water.

Kipande hicho kimenikumbusha rasilimali zetu zilivyotumika kununua washawasha.
 
Hiki kirabu kinaweka wazi gemu la kimataifa la nchi kubwa kuendelea kunyonya nchi ndogo.

Mbinu zinazotumika ni
1) Wakubwa kupitia IMF, World bank n.k wanakupa Idea ya mradi fulani, wanakupa economical models za uongo na kweli.kwamba mradi una tija, Wanakukopesha mapesa, Then baada ya muda wanaanza kukudai, Ukishibdwa kulipa wanaanza sasa kukuambia ulipe kwa kuwaachia Rasilimali ulizonazo.

2) Wakiona kiongozi wa nchi ana msimamo wanamtafutia namna ya kumblack mail, wakishindwa wanamassasinate mfano Hugo Chavez

3) Iwapo mbinu ya kukuaassasinate inashindikana wanakutengenezea uasi nchini mwako mfano Libya, Syria

4) Wakiona hivyo vyote.vinafeli wanakuja na madege yao, makomandoo wao wanakutangazia vita wanakuondoa
 
Wakubwa kupitia IMF, World bank n.k wanakupa Idea ya mradi fulani, wanakupa economical models za uongo na kweli.kwamba mradi una tija, Wanakukopesha mapesa, Then baada ya muda wanaanza kukudai, Ukishibdwa kulipa wanaanza sasa kukuambia ulipe kwa kuwaachia Rasilimali ulizonazo.

Sijui kama Lowasa naye ni local agent wa international economic hitmen au vipi sijui.Lakini Katika hotuba zake alisema tunaweza kwenda kukopa ili tutoe elimu bure kwa kuweka dhamana za Rasilimali za gesi tulizonazo kwenye hivyo vyombo vya fedha vya kimataifa!!!!!

Msikilize mwenyewe hapa akiongelea ugharimiaji elimu bure anatupa idea halafu analeta economic model ya GHANA ambayo ilikuwa HIT na ma-hitmen kama success story anataka tuwakabidhi raslimali hao ma-hitman wa kimataifa ili tukishindwa kulipa deni wazichukue

For every $100 of crude
taken out of the Ecuadorian rain forests, the oil companies receive
$75. Of the remaining $25, three-quarters must go to paying off the
foreign debt. Most of the remainder covers military and other gov-
ernment expenses — which leaves about $2.50 for health, education,
and programs aimed at helping the poor. Thus, out of every $100
worth of oil torn from the Amazon, less than $3 goes to the people
who need the money most, those whose lives have been so adversely
impacted by the dams, the drilling, and the pipelines, and who are
dying from lack of edible food and potable water.

Hapo ndipo wataalamu wetu wa uwekezaji inapobidi wafanye hesabu zao vizuri wanapoleta wawekezaji
 
Hiki kirabu kinaweka wazi gemu la kimataifa la nchi kubwa kuendelea kunyonya nchi ndogo.

Mbinu zinazotumika ni
1) Wakubwa kupitia IMF, World bank n.k wanakupa Idea ya mradi fulani, wanakupa economical models za uongo na kweli.kwamba mradi una tija, Wanakukopesha mapesa, Then baada ya muda wanaanza kukudai, Ukishibdwa kulipa wanaanza sasa kukuambia ulipe kwa kuwaachia Rasilimali ulizonazo.

2) Wakiona kiongozi wa nchi ana msimamo wanamtafutia namna ya kumblack mail, wakishindwa wanamassasinate mfano Hugo Chavez

3) Iwapo mbinu ya kukuaassasinate inashindikana wanakutengenezea uasi nchini mwako mfano Libya, Syria

4) Wakiona hivyo vyote.vinafeli wanakuja na madege yao, makomandoo wao wanakutangazia vita wanakuondoa
Mkuu, uliyoandika ni kweli tupu. Nchi zote unazoona waasi wana nguvu, basi jua kuna namna. Mfano ni Congo. Nakumbuka Hugo Chavez alipinga sera kandamizi za IMF na WB, hata sijui ilifanywaje hadi wakamnasa kwa kumuambujiza kansa ambayo ilikuja kumuondoa. Hawa watu ni hatari mno, na wakiamua hamna anaeweza kuzuia.
Kama mutakumbuka Savimbi alikua ni muasi hatari sana kule Angola. Alisumbua sana, kumbe waheshimiwa walikua wanampa silaha kwa wao kuvuna rasilimali za Angola. Kuba wakati alijifanya kuwageuka, hakuchukua hata round akauawa. Ni hatari sana
 
I like this thread....kuna kitu najifunza hapa.

Siku zote tajiri si mtu mzuri sanaa ingawa wapo wachache wa maana.

Donald Trump kwenye kitabu chake " The Art of the Deal " ameeleza hii scheme from a different perspective.
 
Ukisoma hicho kitabu halafu ukaangalia Nchi yetu inavyotafunwa utatamani kulia.

mkuu tatizo ni kubwa karibu nchi zote za dunia ya tatu ndio maana wanahitajika viongozi wazalendo walio tayari kufia nchi zao na kusimamia maslahi ya watu wao katika ngazi zote za uongozi kuanzia chini hadi juu na katika vyama vyote tawala na vya upinzani.
 
Hawa Economic Hit Men hufikia hadi hatua ya kuwauwa viongozi wazalendo kwa nchi zao kama walivyomuua Patrice Lumumba wa DRC.

Wasije tu wakaanza njama za kumdhuru Magufuli wetu.
Usalama wa Taifa wazishe ulinzi kwa Rais wetu kwa kwel.
 
Back
Top Bottom