Kuna mambo ukiyafahamu hata kidogo tu hutayumbishwa hata siku moja.
Jamiiforums ni system inayotegemea members ambao wapo kila sehemu(including wewe na tcu) na servers zenye post zipo tcu na sio jamiiforums (ndo maana uki click link unaambiwa server not found ikimaanisha wametoa page kwenye server yao). Ukitaka kujua alievujisha angalia mwenye post na kama si yeye anajua alikotoa na mwisho kabisa ni wenye server yao ambao ni tcu na sio jamiiforums..