Je unaitaji gari?

Hivi unalipa kodi wewe? Ionee nchi yako huruma fungua show room ulipe kodi
 
Hili ndio tatizo la wabongo mliobahatika kuwa nazo,hivi gari gani linaingia tz bila kulipiwa kodi au mnapenda nyinyi pekee mmiliki magari?
 
Achana nae huyo ana roho ya kwa nini?
 
Any manual car with a range of 1000-1500cc please let me know and the price too.
Serious
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…