Je, unahitaji samaki wa urembo?

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
2,366
Reaction score
2,438
Je unahitaji samaki wa urembo?

Je unahitaji kasha la kuhifadhi samaki wa urembo (aquarium)?

Je unahitaji vyote viwili, yaani samaki wa urembo na kasha la kuwahifadhi?

Wasiliana nasi kwa namba hii 0769 733 258

Unaletewa mzigo mkoa wowote ulipo hapa Tanzania.

Karibu sana

NB: Hawa ni samaki wadogo wenye rangi mbalimbali za kuvutia wanafugwa kwenye kasha/kibanda cha kioo kama mapambo. Tazama picha hapo chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaweza kujua mahali ninaweza pata aquarium pump? Nina shida nayo
 
Mkuu unaweza kujua mahali ninaweza pata aquarium pump? Nina shida nayo
Mkuu, nadhani mawazo yetu yana fanana.
Hizi pump niliwahi kuzitafuta na nikacheki kwa AliBaba, na bei yao kidogo ilikiwa imechangamka sana.
Lakini mwisho wa siku nilipata suluhisho kwamba nitaunda pump zangu mwenyewe kwa gharama isiyo zidi 30,000 kwa kila pump moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, haupatikani kwa namba yako hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushimen hizo pump nimezitafuta nikajua masalupwete atakuwa anajua mahali ambapo naweza pata hizo pump. Mkuu ukiunda tuwasiliane, mi niliwahi kuunda kwa kutumia mota ndogo ufanisi wake ukawa duni ndo mana nazitafuta
 
Ungesema pia Aina ya samaki uliyokuwa nao
Kama ni zebra, goldfish, blackmore, magapi etc
Dah utoton I nlifuga sana na Nakumbuka nlikuwa bonge la mwizi wa samaki Hao kwa wanaofuga...... Kuna jamaa alikuwa anaitwa Peter mzungu alikuwa anakaa hananasif huu mziki anaujua

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushimen hizo pump nimezitafuta nikajua masalupwete atakuwa anajua mahali ambapo naweza pata hizo pump. Mkuu ukiunda tuwasiliane, mi niliwahi kuunda kwa kutumia mota ndogo ufanisi wake ukawa duni ndo mana nazitafuta
Sawa mkuu, naombaa tuwasiliane pm ili tuone jinsi ya kufanya kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…