Je; Unahitaji Professional Bodyguard Au Detective Agency?

Bodyguard

Member
Joined
Jul 2, 2012
Posts
27
Reaction score
2
Salaam sana

Je; wewe ni mwanasiasa, mfanyabishara au raia ambaye maisha yako yako au familia yako hatarini?

Je, unahitaji Body Guards au Detectives ambao wamepitia mafunzo maalumu?

Tunatoa huduma zifuatazo k
wa ambao wanafikiri usalama wao uko mashakani na wanahitaji walinzi binafsi na wapambe wa kuwasindikiza wa kike au wa kiume. Bodyguards wetu wamepitia mafunzio ya maalumu na ukakamavu kama Karate na kujihami.

Huduma tunazotoa ni pamoja na:

1. Bodyguards
2. Closed Protection & Escort

Kwa waliohitaji uchunguzi wa masuala mbalimbali ili kupata ushahidi wa uhakika katika makampuni, masuala ya ndoa, biashara, elimu, ajira nk nk tunatoa huduma inayotolewa na Agents wetu waliopitia mafunzo maalumu ya:

3. Detectives & Investigation

Kama una hitaji huduma hiyo tafadhali ni PM.
 
mweee.......nataka nimfuatilie my mtu chake.........simuelewi elewi siku hizi.......anaweza kufuatiliwa kama kwenye kile kipindi cha cheaters......? maana bongo siwaamini kabisa.......nakulipa umfuatilie.....unakwenda kumwambia unafatiliwa.......anaongeza dau biashara inakuwa imekwisha......
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwenye red ........... nakugongea "LIKE" Umesema UKWELI KABSAAAAAAAA
 
mweee.......nataka nimfuatilie my mtu chake.........simuelewi elewi siku hizi.......anaweza kufuatiliwa kama kwenye kile kipindi cha cheaters......? maana bongo siwaamini kabisa.......nakulipa umfuatilie.....unakwenda kumwambia unafatiliwa.......anaongeza dau biashara inakuwa imekwisha......
duh..mie mwenyewe nataka wakufuatilie....
 
mweee.......nataka nimfuatilie my mtu chake.........simuelewi elewi siku hizi.......anaweza kufuatiliwa kama kwenye kile kipindi cha cheaters......? maana bongo siwaamini kabisa.......nakulipa umfuatilie.....unakwenda kumwambia unafatiliwa.......anaongeza dau biashara inakuwa imekwisha......

..duh...bebi umefikia hapa...ila hata mimi nitawalipa wakufuatilie...
 
mweee.......nataka nimfuatilie my mtu chake.........simuelewi elewi siku hizi.......anaweza kufuatiliwa kama kwenye kile kipindi cha cheaters......? maana bongo siwaamini kabisa.......nakulipa umfuatilie.....unakwenda kumwambia unafatiliwa.......anaongeza dau biashara inakuwa imekwisha......

Mimi pia suala la double-dealing ndiyo linanitia hofu! Isijekuwa badala ya kunisaidia info za kutatua tatizo langu nikaishia kuliwa hela na tatizo likawa kubwa na madhara makubwa kama bomu la Hiroshima!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha kwa staili hii , kazi mmepata, na mi nataka nimfuatilie bf wangu, siku hizi haeleweki simu kumi kumi lol!....
 
mm niliibiwa kuku afu askar akapotea unaeza nisaidia kufanya uchunguzi
 
Watz hata sijui mkoje, mtu yuko serious anatangaza biashara yake ninyi mnamfanyia utani!!
 
Gharama zenu zimekaaje mkuu? Tafadhari usifanye siri, bila shaka ninyi ni watu muhimu mno hasa kwa kipindi hiki nchi yetu ilipofikia!
Naulizia kwa upande wa bodyguards wa kike tu!
 
mweee.......nataka nimfuatilie my mtu chake.........simuelewi elewi siku hizi.......anaweza kufuatiliwa kama kwenye kile kipindi cha cheaters......? maana bongo siwaamini kabisa.......nakulipa umfuatilie.....unakwenda kumwambia unafatiliwa.......anaongeza dau biashara inakuwa imekwisha......

ha aha ha ahaaaaa!! ni kweli kabsaaaaaaaaaaa
 
Tanzania tumefikia viwango vya prof bodyguards?na je wanapata usajili wizara mambo ya ndani?vipi wakiua wakati wana protect boss/tajiri wao labda kwa hisia tu ,kabla ambush sheria ipo!?na inasemaje?vipi kuhusu kutunza siri baada kupewa kazi fulani?uadilifu wao utapimwaje?hakuna mwingiliano na UWT au hata Polisi?
 
South Africa, at the peak of insecurity in the streets, iligundulika kua most of the companies proposing personal security services had a direct link with top security officials in power or retired. Sasa tujiulize, nani anasababisha insecurity? Na hizi kampuni za security zinamilikiwa na nani? Hao wamiliki wanahusianaje na national police ambayo ndio inaonekana ikiendelea kushindwa kazi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom