Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
Ngoja kwanza kabiashara kangu kawe kakubwa nitawatafuta,sasa hivi sihijati ulinzi maana hata hela ya kuwalipa sina.
Wait!!
Ngoja niongee na mkubwa Mbowe akinipa ukuu wa m4c kanda ya kaskazini kusini nitawatafuta maana lazima ccm wataniwinda.
Wait!!
Ngoja niongee na mkubwa Mbowe akinipa ukuu wa m4c kanda ya kaskazini kusini nitawatafuta maana lazima ccm wataniwinda.