Je, unahitaji NEMBO/LOGO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, unahitaji NEMBO/LOGO

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Bongologo, Apr 14, 2012.

 1. B

  Bongologo Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utambulisho Wa mwanzo Wa biashara/huduma au jina la kampuni yako ni NEMBO/LOGO. Wasiliana nami Kama unahitaji nyenzo muhimu katika utambulisho wako ili ni-design NEMBO/ LOGO yako. Pia kama unataka kuiboresha au kuipa mtazamo mpya NEMBO/LOGO uliyokuwa nayo kwa sasa. 0652 999009. Bongologo@yahoo.com
   
 2. kalendi

  kalendi JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 895
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  Mimi logo ninayo. Ninachohitaji kwako ni msaada namna ya kujisajiri ili kupata "BATCH NUMBER" na ili nipate nembo ya "TBS". Biashara yangu ni kutengeneza,kupaki na kuuza sembe. 0754013623
   
 3. B

  Bongologo Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TBS operates three product certification schemes; namely the Standards Mark of Quality Certification Scheme; the Batch Certification Scheme and the Tested Product Certification Scheme. The Bureau also operates the Systems Certification Scheme.

  Batch Certification Scheme for Imports
  Batch Certification Scheme for Imports is part of the implementation of Government Notice No. 672 of 1998 – The (Standards) Compulsory Batch Certification of Imports) Regulations. TBS operated a Batch Certification Scheme for all imports covered under compulsory standards.

  Under this scheme, the Bureau is also in the process of implementing Pre-Shipment Verification of Conformity (PVoC) to standards program under which products quality will be verified in countries of origin.
   
 4. B

  Bongologo Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pia unaweza kuwasiliana na jamaa Wa TBS for more info:


  Tanzania Bureau of Standards
  Ubungo Area, Morogoro Road / Sam Nujoma Road

  Postal Address
  P O Box 9524, Dar es Salaam, TANZANIA.*

  Telephone +255 22 245 0298 | +255 22 245 0206 | +255 22 245 0949
  Telefax: +255 22 245 0959

  E-mail: info@tbstz.org*
   
 5. B

  Bongologo Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina-design label za products vilevile. Pls. Nitumie email yk ili nikutumie sample ya labels nilizowatengenezea clients wengine. Na kaka, label ya product ambayo Ina-function Kama Brand identity ya hiyo product ni tofauti na logo. Logo ni identity ya kampuni inayotengeneza hiyo product. Mfano: angalia "blue shwosh" na neno Azam ni logo ya kampuni ya Azam but, Uhai (na label iliyopo ktk chupa za maji ya kampuni hiyo) ni brand identity ya Maji yanayotengenezwa na kampuni ya Azam. Sasa angalia tofauti inayojitokeza Kati ya Azam logo na label za bidhaa zake nyingine then you will know what I mean. Thanks
   
 6. kalendi

  kalendi JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 895
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  email: augustinongunda@yahoo.com
   
 7. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  nitume mimi hapa qq.com@hotmail.co.uk naweza kukupa kazi moja
   
 8. B

  Bongologo Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitawatumia nyote Mungu akipenda kesho. Thanks
   
 9. m

  majogajo JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ok mdau tutajitahidi kufuatilia
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwa kukusaidia aidha uweke hapa kazi zako japo kwa water mark au ufunguwe blog ambayo utaweza kutangaza kazi zako na kila mtu anaweza kuziona na kuzitathmini kama zinaridhisha, ni ushauri tu.
   
 11. B

  Bongologo Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Brother X-Paster, you are very considerate. Kitendo chako tu cha kunipa ushauri kwanza, ni sadaka mbele ya Mungu. Pili, ni msaada mkubwa kwangu. Tayari nilikuwa nimeshaanza mpango wa kuji-expose more professionally ila jana tu usiku wakati Nina-contemplate nini cha Luda ya ktk mikakati yangu...ghafla, nikakumbuka, man, kuna hii kitu inahitwa Jamii Forum, I hit the buttons and here we are... Brother, this site is so productive!!! Siku zote najua threads ni uzi kumbe, hii mkusanyiko yangu hapa ya maneno ni thread pia. A ha ha ha! One love.
   
 12. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hey kaka angu, ulikuwa wapi siku zote! ebu nitupie na mimi hayo maujuzi yako nikupe mitenda. ydpstudio@yahoo.com
   
 13. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mimi ni pm tu
   
 14. B

  Bongologo Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari sista Mimtamu. Usijali nitakutumia. Pia ukishaona baadhi ya Kazi zangu ndo utajua Kama nina uwezo Wa kukusadia kimawazo nami kujifunza mengi kwako. Muhimu, kutokana na Imani yangu, sijihusishi na project za watu au kampuni zinazojihusisha na pombe, ulevi, Kamari, na mambo kama hayo
   
 15. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Duh! Kwenye anasa ndo kuna dili mkuu ushakosa kazi mi nilikuwa nataka logo ya kilabu changu hapa maeneo ya chamazi. By the way hope unatoa kichwani maana cku hizi designerz hawataki kuumiza vichwa au wengine wamevamia ni mwendo wa ku2mia templetes 2.
   
 16. B

  Bongologo Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika jitihada zangu za kutengeneza blog, nimekuta kuna jamaa wengine tayari wanatumia jina "bongologo" sasa basi, ili kuondoa confusion na pia kuheshimu masuala ya hatimiliki imenilazimu nibadili jina la project wangu. Nafiria kuihita "NACHORANEMBO". Sijui wadau mwasemaje
   
 17. B

  Bongologo Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani we acha tu. Nalijua Hilo kaka. Ntakwambia kitu kimoja. Kwangu Mimi ni bora kuridhika na kitu kidogo kuliko kupigania kikubwa na kumkosea Mungu. Zamani nilikuwa nafanya Kazi mbalimbali but wajua kuna muda unafika inabidi ubadilike bro. Sasa hivi Nina miaka Kama 47/48 hivi na najiweka ktk low profile hivi. Mazee, namshukuru sana Allah maana amenijaalia uwezo mkubwa Wa kubuni nembo. Kwangu Mimi design work inanipa raha, inanitolea ma-stress yaani ni chombo kinachosadia well being yangu. Ntakumia sample bro uone na nakushukuru sana
   
 18. B

  Bongologo Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenyu bana. Nimetuma sample za logo kwa wale wote walionipatia email address zao.
   
Loading...