Je unahitaji mtu wa ku savey eneo lako ?

Je unahitaji mtu wa ku savey eneo lako ?

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Pamoja na kutoa huduma ya kuuza na kununua viwanja .Pia tunatoa huduma ya sarvey , kusaidia kusajiri eneo ambalo halijasajiriwa kama litakuwa sehemu salama. kupima mashamba nk . 0657 145555 & 0755099 291
 
Pamoja na kutoa huduma ya kuuza na kununua viwanja .Pia tunatoa huduma ya savey , kusaidia kusajiri eneo ambalo halijasajiriwa kama litakuwa sehemu salama. kupima mashamba nk . 0657 145555 & 0755099 291

Nina wasiwasi na kazi yako maana hata spelling yenyewe ya survey ni mziki
 
huyu jamaa nouma anauza magari, nyumba, viwanja, mashamba, kupima nk.

kweli huyu mjasiriamali namkubali, bigup
 
Back
Top Bottom