Je, unahisi una kibamia?

Hakuna kibamia! Kijana wa kiume jivunie maumbile yako na ujiamini.
 
Narudia tena kusema kama una kuanzia nchi 7 kushuka chin,wew ni kiba100
 
Kwani tatizo nini ?
 
Mkuu unamaanisha tuwakatae Waliojaliwa mitalimbo..viguu vya watoto?.
 
WATANZANIA TUTAZIDI KUWA MASKINI HADI MWISHO WA DUNIA. YAANI TUNAWAZA NGONO MASAA 24 SIKU 7 ZA WIKI.

UKIENDA MASHULENI KESI NI ZA NGONO TU. MAOFISINI STORY NI ZA NGONO TU MARA FULANI ANATOKA NA FULANI YAANI NI FULL UZINZI.

Mungu aturehemu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman kat ya single maza mwenye chura na mchana fresh nioe yup???
 
Narudia tena kusema kama una kuanzia nchi 7 kushuka chin,wew ni kiba100
Inawezekana uko sahihi ama sio sahihi,
Na inawezekana una hoja nzito ila nnachozungumzia hapa ni matumizi mabaya ya nyeti za mwanamke ,

Inawezekana ww ndo maumbile yako yako hvyo ndo ulivyozaliwa sio kosa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…