Je Unafaham Maana na Matumizi Halisi ya Hizi Code?

Wakuu, kuuliza si ujinga.
Naomba kujua maana na matumizi ya hizi Code.
1. Postal Code
2. Zip Code

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia google na angalia muongozo wa Tcra au tovuti yao,utapata kila kitu,mda mwingine watanzania tujifunze dhana ya elimu mkononi,yani wewe una smart phone halafu unakuja kwenye jamvi kuuliza swali kama hili?inaonekana hata kipindi unasoma maktaba hukuwai kuingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yote ya nn ndio mana aona humu kuna wajuzi wengi mkuu kama unajua msaidie yeye na wengineo wasiojua
Ingia google na angalia muongozo wa Tcra au tovuti yao,utapata kila kitu,mda mwingine watanzania tujifunze dhana ya elimu mkononi,yani wewe una smart phone halafu unakuja kwenye jamvi kuuliza swali kama hili?inaonekana hata kipindi unasoma maktaba hukuwai kuingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia google na angalia muongozo wa Tcra au tovuti yao,utapata kila kitu,mda mwingine watanzania tujifunze dhana ya elimu mkononi,yani wewe una smart phone halafu unakuja kwenye jamvi kuuliza swali kama hili?inaonekana hata kipindi unasoma maktaba hukuwai kuingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha masimango, hukulazimishwa kujibu.
Unaendana na jina lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia google na angalia muongozo wa Tcra au tovuti yao,utapata kila kitu,mda mwingine watanzania tujifunze dhana ya elimu mkononi,yani wewe una smart phone halafu unakuja kwenye jamvi kuuliza swali kama hili?inaonekana hata kipindi unasoma maktaba hukuwai kuingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama unajua ni bora ukamweleza , inawezekana ameona akashindwa kuzielewa kwa hiyo anatafuta kuelewa kwa wajuzi
 
Ingia google na angalia muongozo wa Tcra au tovuti yao,utapata kila kitu,mda mwingine watanzania tujifunze dhana ya elimu mkononi,yani wewe una smart phone halafu unakuja kwenye jamvi kuuliza swali kama hili?inaonekana hata kipindi unasoma maktaba hukuwai kuingia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Waweza kuta na huyu ni mwanaume lakini ndiyo hivyo tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida smart phone mmezigeuza digital camera ndio maana hata mawazo yenu yamekaa kupost picha mpate lyk,mwanaume mnzima unapost picha umetega pozi.ukisubiri upate lyk,kwa mtindo huo ndio maana hata mawazo yako yamekaa ki bent.

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza masimango mkuu
Sisi wengine Jf kwetu ni zaidi ya Google.
Wewe Ukiona hauwezi kumuelewesha ni bora ukae kimya tu.
Pia hata akiingia Google faida atapata peke yake ila akiuliza humu jukwaani na jibu likapatikana basi watu wengi pia tunaelimika.

Maendeleo hayana chama
 
Akiulizia JF faida wanapata wengi... Ahsante mkuu
 
Wakuu, kuuliza si ujinga.
Naomba kujua maana na matumizi ya hizi Code.
1. Postal Code
2. Zip Code

Sent using Jamii Forums mobile app

Zip code,postal code,eircode,pin code,hizo zote ni kitu Kimoja ila marekani wanatumia zaidi ZIP CODE na Napa europe nchi karibia zote wanatumia POSTAL CODE, (a)kirefu cha zip ni zone improvement plan hii code iliKuwa introduced mwaka 1963 kutumiwa kuagizia vitu katika anuani na kufika kwa haraka bila usumbufu kwa muhusika mfano barua (b)postal code hii pia ni code iliyokuwa introduced kwa Mara ya kwanza in london 1857 yote hii ilikuwa kurahisisha mail kufika kwa uhakika na urahisi kwa mlengwa,nawasilisha
 
Ilo ni jibu bora kabisa, ni heri anayekufundisha njia ya kutafuta chakula kuliko yule anayekupa chakula, maana ipo siku huyo anayekupa chakula hatokuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zip code,postal code,eircode,pin code,hizo zote ni kitu Kimoja ila marekani wanatumia zaidi ZIP CODE na Napa europe nchi karibia zote wanatumia POSTAL CODE, (a)kirefu cha zip ni zone improvement plan hii code iliKuwa introduced mwaka 1963 kutumiwa kuagizia vitu katika anuani na kufika kwa haraka bila usumbufu kwa muhusika mfano barua (b)postal code hii pia ni code iliyokuwa introduced kwa Mara ya kwanza in london 1857 yote hii ilikuwa kurahisisha mail kufika kwa uhakika na urahisi kwa mlengwa,nawasilisha

Ahsante kwa Elimu
 
Mkuu nakushukur sana kwa kutuelimisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida smart phone mmezigeuza digital camera ndio maana hata mawazo yenu yamekaa kupost picha mpate lyk,mwanaume mnzima unapost picha umetega pozi.ukisubiri upate lyk,kwa mtindo huo ndio maana hata mawazo yako yamekaa ki bent.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwakweli sijakuelewa, yaweza kuwa una IQ kubwa sana[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom