Je,unaamini Bunge live lilizuiliwa ili watu wafanye kazi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,570
2,000
Ukiwa mtu mwenye akili zako timamu,kwa haya yanayoendelea ya karibu kila kitu kufanywa live tena karibu kila kukicha,ni kweli Bunge live lilizuiwa ili watu wafanye kazi?

Kama tumedanganywa katika hili,umejiuliza mpaka sasa tutakuwa tumedanganywa katika mambo mangapi?
 
BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,050
2,000
Walilifunga kufunika utupu wao.
Mfano Leo vyombo TBC vimetumia karibu siku nzima kumu-attack Lissu!

Unaweza ona kazi ambayo wangekua nayo kujisafisha kama every single detail ya kinachoendelea bungeni kingekuwa kinamfikia mwananchi unfilterd!
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,129
2,000
Bunge live lilizuiwa baada ya Mkulu kugundua wabunge wengi wa CCM walikuwa hawana hoja kwenye issues mbalimbali zilizokuwa zinakuwa tabled bungeni..

Wengi wao walikuwa wanalala tu..

Na ni wabunge wa upinzani tu ndio waliokuwa ni wachangiaji mahiri kwa maslahi ya Taifa hili.

Hakukuwa na lengo kabisa la kuzuia bunge live ili wananchi wachape kazi.. Never.

Ushahidi ni wa upokeaji wa hizi report zao za madini. Wameomba hadi Bar zifunguliwe asub ili watu waone hizi cooked stories za kupeana sifa za kijinga.

Shame on u CCM.
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,467
2,000
Bashite aliagiza tanesco wasizime umeme Dar yote ili watu wote waangalie tv ikionesha rais akikabidhiwa ripoti ya makinikia siku ya kazi..
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,872
2,000
Ukiwa mtu mwenye akili zako timamu,kwa haya yanayoendelea ya karibu kila kitu kufanywa live tena karibu kila kukicha,ni kweli Bunge live lilizuiwa ili watu wafanye kazi?

Kama tumedanganywa katika hili,umejiuliza mpaka sasa tutakuwa tumedanganywa katika mambo mangapi?
we nawe!!hiyo ni hoja mtakayokuja nayo kwenye uchaguzi 2020!
Kuangalia jinsi tulivyoibiwa na kumuangalia Tundu lissu akitukana kisa ana kinga ya kibunge kipi bora
 
Magobe T

JF-Expert Member
Mar 19, 2008
3,621
2,000
Ukiwa mtu mwenye akili zako timamu,kwa haya yanayoendelea ya karibu kila kitu kufanywa live tena karibu kila kukicha,ni kweli Bunge live lilizuiwa ili watu wafanye kazi?

Kama tumedanganywa katika hili,umejiuliza mpaka sasa tutakuwa tumedanganywa katika mambo mangapi?

Mimi ningeamini kama ni kweli kama live programmes zote kwenye TV zingezuziwa pia. Lakini kuzuia bunge tu, lakini kuacha live programmes zingine ziendelee hakunishawishi mimi kuwa kumewafanya watu wafanye kazi zaidi. Nani amefanya utafiti huo? After all, kwangu kwa utaratibu wa kazi yangu (kuwa deadline ni saa 19:30) kuwe na bunge live au kusiwe na bunge live ni lazima kazi iishe kwa muda huo, otherwise napata kashikashi na bosi wangu. Sasa kuniambia mimi kwamba nifafanya kazi zaidi kwa sasa kuliko zamani wakati deadline yangu ipo palepale zamani na hata sasa siwezi kuelewa. Pia je, kipindi ambacho bunge linaonyeshwa live au ufunguzi fulani wa mradi au kuwasilisha ripoti fulani, je watu huwa hawafanyi kazi muda huo?
 
Jotojiwe

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
326
225
Hivi ujui hata sasa wanajuta ni kwa nini tuliona haya yote hapo awali hata sasa wao kufanya nijambo la tukio hatushangai!!!

Kwa upande wangu machale yanasema hii mambo ni process za kuiparalaizi hii noma till itakapo kufa, yani mmoja wao tu anaejua hii ni only 5 yrs kuharibu kila awezacho sidhani kama ataweza kusaliti kibabe hivi!!!. Mbaya wahusika wanamatawi hai ndani ya mhimili!!!!!!! , kwakweli sijui... Natamani kuyaona yakitokea na kuyafahamu.

Hivi hii mifumo ya salama huwa inachange ki system security as utawala change!! This time we learn as much as we can but from them let em raise sam little fight so we can enjoy more.
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
7,130
2,000
Nape alisimama kidete kutetea bunge lizimwe, after few months mkulu akaja sema yeye ndiye aliagiza hayo yafanyike, so mpaka hapo ushaona kuna sintofahamu flani then uje uamini sababu ya kuzimwa
 
Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,058
2,000
Nape alisimama kidete kutetea bunge lizimwe, after few months mkulu akaja sema yeye ndiye aliagiza hayo yafanyike, so mpaka hapo ushaona kuna sintofahamu flani then uje uamini sababu ya kuzimwa
Nape atuambie nani alimtuma kuzima bunge live?
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
7,130
2,000
Nape atuambie nani alimtuma kuzima bunge live?

Raisi mwenyewe alisema siku alipo toa kauli ya kushaanga wabunge wa ccm kupanga kumtembelea lema gerezani, kama hukuwa nchini basi jua alishasema yeye ndiye alitoa maagizo
 
mwanaludewa

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
763
1,000
Ni baada ya kuanza kutumika kimkakati badala ya kuwa mhimili wa kuisimamia na kuishauri serikali limegeuka na kuwa mkutano wa chama!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom