U Usiufukuze Upepo Member Joined Jan 4, 2013 Posts 68 Reaction score 7 Jan 23, 2013 #21 Wapo wengi hao waerevu huko Lagos, Nigeria nenda ukawashuhudie mwenyewe kama huniamini vo!
K kiloleni Member Joined Sep 20, 2012 Posts 91 Reaction score 20 Jan 23, 2013 #22 sifa hizo mbona ni utopian kwa karne hii? wote mko kariakoo dukani 12asubuhi hadi 12jioni nani wa kumvua mwenzake viatu ambaye hachoki?
sifa hizo mbona ni utopian kwa karne hii? wote mko kariakoo dukani 12asubuhi hadi 12jioni nani wa kumvua mwenzake viatu ambaye hachoki?