Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,602
MWANAMKE MPUMBAVU
1.Anamkomoa mmewe
2.Analala mapema kabla ya mmewe
3.Anachelewa kuamka kabla mmewe
4.Mbishi,anahisi kuonewa mda wote
5.Anadhani kumnyima mmewe uny- Umba ni kumkomoa
6.Mmekaa sebuleni anahadithia tu
Mafanikio za familia za watu
Wakati ye ndo kigezo cha kero.
7.Hataki kuzungumzia mshara wake
8.We unajenga family ye anajenga Kwao
9.Mkikaa tu anaanza umbea kuponda
Ndugu na majirani
10.Haridhiki(mwanaume unatoa jasho ila ye anakudiscourage wakati
Ye akishuka kwenye kochi anakaa
Kwenye jamvi na baadaye anelekea saloon kupiga umbea kuhusu mama joyce kafumaniwa gesti.
11.Nyumbani housegirl hapunziki.
12.Anajali ajira yake hataki kufuatiliwa mambo yake.
13..Anakera sana,siwezi kuacha kazi yangu hata kama anaumwa,kajikata kucha halafu
anadai apelekwe Agha Khan au India.
NOTE:akikutana na mwanaume kichwa ngumu anamrudisha kwao ameshazalishwa watoto 3,anaenda kwa mwingine anaongezewa watoto 2,anazinguliwa anapigwa toto
lingine mmoja mtaani,unakuta kazaa na kila familia mtaani baadaye anaishi ghetto au
kwao.
MWANAMKE MWEREVU.
1.Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo
bafuni"(mwanamke adimu sana) 2.Unajiandaa kwenda kazini khaa,nguo zishapigwa pasi(jamani hiyo kazi kafanya saa
ngapi?unajikuta unaenda kazini upo kwenye daladala kimoyo moyo unamwambia "I love
u honey"
3.Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu hujui hata anazifua saa ngapi maana huwa
hujui anazifua saa ngapi?
4.Umejipunzisha kwenye kochi au Au kitandani mara kakukalia
Mgongoni anakufanyia mesaj
Mgongoni,khaa alijuaje unataka
Ufanyiwe masaj?unaishia kusema
Thanks baby.
5.Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia na unaweza kumpa mtaji mana ni mkweli(ni baraka kwenye familia)
6.Anapenda ndugu zako(siyo mama mkwe akija anasimamisha pua juu kama kitimoto)
7.Anakupa moyo kwenye wakati mgumu,mf,umefukuzwa kazi anakushauri (baby hayo ni
maisha tu,usijali utafanikiwa kama vipi tusimamie ule mradi wangu mpaka uajiriwe)khaa
jamani yupo kama huyu fb?upareni?uchagani?usukumani je?
8.Ukirudi nyumbani unakuta anamfundisha mtoto wako maadili ya kimungu(wow heri tuzae tu wa pili)
9.Anakufariji.(Baby usiogope ni mapito ya dunia,jikaze mme wangu,nipo upande
wako),hehhehe hata ukinuna unabembelezwa.
10.Mwenye kushukuru na suprises,hawezi kukusahau,(baby hii zawadi kwa ajili
yako,umenisaidia sana mme wangu,you changed my life,""baby leo birthday yako,khaa
unaona keki mezani"),kuna mke kama huyo? 11.Ana uhakika mimba yako ("baby nina suprise,kumbe mwezi uliopita ulinipa toto,nina
mimba yako(siyo ooh khhaaa tumefanya mapenzi juzi tu umenipa dragon mwingine) NB.Mwanamke kama huyu ni blessing,kila jioni unaona toto zako
zimekaa kwenye kochi yaani vitoto vizuri miguu mifupi hata vikikaa kwenye kochi miguu
hazifiki kwenye sakafu vinaangalia cartoons.
Hehehe mtazamo tu najua mmewaza sana.
MWANAMKE --------

6.Mmekaa sebuleni anahadithia tu Mafanikio za familia za watu Wakati ye ndo kigezo cha kero.
7.Hataki kuzungumzia mshara wake
8.We unajenga family ye anajenga Kwao
9.Mkikaa tu anaanza umbea kuponda Ndugu na majirani
10.Haridhiki(mwanaume unatoa jasho ila ye anakudiscourage wakati Ye akishuka kwenye kochi anakaa

13..Anakera sana,siwezi kuacha kazi yangu hata kama anaumwa,kajikata kucha halafu anadai apelekwe Agha Khan au India.
NOTE:Akikutana na mwanaume kichwa ngumu anamrudisha kwao ameshazalishwa watoto 3,anaenda kwa mwingine anaongezewa watoto 2,anazinguliwa anapigwa toto lingine mmoja mtaani,unakuta kazaa na kila familia mtaani baadaye anaishi ghetto au kwao.
MWANAMKE MWEREVU.
1.Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)
2.Unajiandaa kwenda kazini khaa,nguo zishapigwa pasi(jamani hiyo kazi kafanya saa ngapi?unajikuta unaenda kazini upo kwenye daladala kimoyo moyo unamwambia "I love u honey"
3.Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu hujui hata anazifua saa ngapi maana huwa hujui anazifua saa ngapi?
4.Umejipunzisha kwenye kochi au
Au kitandani mara kakukalia

7.Anakupa moyo kwenye wakati mgumu,mf,umefukuzwa kazi anakushauri (baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa kama vipi tusimamie ule mradi wangu mpaka uajiriwe)khaa jamani yupo kama huyu fb?upareni?ucha-gani?usukumani je?

9.Anakufariji.(Baby usiogope ni mapito ya dunia,jikaze mme wangu,nipo upande wako),hehhehe hata ukinuna unabembelezwa.
10.Mwenye kushukuru na suprises,hawezi- kukusahau,(baby hii zawadi kwa ajili yako,umenisaidia sana mme wangu,you changed my life,""baby leo birthday yako,khaa unaona keki mezani"),kuna mke kama huyo?
11.Ana uhakika mimba yako ("baby nina suprise,kumbe mwezi uliopita ulinipa toto,nina mimba yako(siyo ooh khhaaa tumefanya mapenzi juzi tu umenipa dragon mwingine)
NB.Mwanamke kama huyu ni blessing,kila jioni unaona toto zako zimekaa kwenye kochi yaani vitoto vizuri miguu mifupi hata vikikaa kwenye kochi miguu hazifiki kwenye sakafu vinaangalia cartoons.
Mwanamke mwerevu mwingine huyo
NAMNA YA KUMTAMBUA
MWANAMKEMPUMBAVU
MWANAMKE MPUMBAVU
1. Anamkomoa mumewe.
2. Analala mapema kabla ya mumewe.
3. Anachelewa kuamka kabla ya mumewe.
4. Mbishi, anahisi kuonewa mda wote.
5. Anadhani kumnyima mumewe unyumba ni kumkomoa.
6. Mmekaa sebuleni anahadithia tu mafanikio ya familia za watu wakati ye ndo kigezo cha kero.
7. Hataki kuzungumzia mshahara wake.
8. We unajenga family yeanajenga kwao.
9. Mkikaa tu anaanza umbea kuponda ndugu na majirani.
10. Haridhiki (mwanaume unatoa jasho ila ye anakudiscourage wakati yeye akishuka kwenye kochi anakaa kwenye jamvi na baadaye anelekea
saloon kupiga umbea kuhusu mama Joyce kafumaniwa gesti.
11. Nyumbani housegirl hapumziki.
12. Anajali ajira yake hataki kufuatiliwa mambo yake.
13. Anakera sana, siwezi kuacha kazi yangu hata kama anaumwa, kajikata kucha halafu anadai apelekwe Agha
Khan au India.
NOTE: Akikutana na mwanaumekichwa ngumu anamrudisha kwao ameshazalishwa watoto 3, anaenda kwa mwingine anaongezewa watoto 2, anazinguliwa anapigwa toto lingine si mmoja mtaani, unakuta kazaa na kila familia mtaani baadaye anaishi ghetto au kwao.
MWANAMKE MWEREVU
1.Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni" (mwanamke adimu sana)
2.Unajiandaa kwenda kazini khaa, nguo zishapigwa pasi (jamani hiyo kazi kafanya saa ngapi? Unajikuta unaenda kazini upo kwenye daladala kimoyo moyo unamwambia "I love u honey"
3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu hujui hata anazifua saa ngapi maana huwa hujui anazifua saa ngapi?
4. Umejipumzisha kwenye kochi au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masej Mgongoni, khaa alijuaje unataka ufanyiwe masej? Unaishia kusema thanks baby.
5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia na unaweza kumpa mtaji mana ni mkweli (ni baraka kwenye familia)
6. Anapenda ndugu zako (siyo mama mkwe akija anasimamisha pua juu kama kitimoto)
7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu, mf: Umefukuzwa kazi anakushauri (baby hayo ni maisha tu, usijal utafanikiwa kama vipi tusimamie ule mradi wangu mpaka uajiriwe) khaa jamani yupo kama huyu Fb? Upareni? Uchagani? Usukumani je?
8. Ukirudi nyumbani unakuta anamfundisha mtoto wako maadili ya kimungu (wow heri tuzae tu wa pili)
9. Anakufariji Baby usiogope nimapito ya dunia, jikaze mume wangu, nipo upande wako), heheeee hata ukinuna unabembelezwa.
10. Mwenye kushukuru na suprises, hawezi kukusahau, (baby hii zawadi kwa ajili yako, umenisaidia sana mume wangu, u change my life, "baby leo birthday yako, khaa unaona keki mezani"),kuna mke kama huyo?
11. Ana uhakika mimba yako ("baby nina suprise, kumbe mwezi uliopita ulinipa toto, nina mimba yako (siyo ooh
khaaa tumefanya mapenzi juzi tu umenipa dragon mwingine)
NB. Mwanamke kama huyu ni blessing, kila jioni unaona toto zako zimekaa kwenye kochi yani vitoto vizuri miguu mifupi hata vikikaa kwenye kochi miguu hazifiki kwenye sakafu vinaangalia cartoons.
Hehehe ni mtazamo tu...
nitajuaje kama ni mwanamke mwerevu wakati wa uchumba?

Last edited by a moderator: