Je una PC? Kuna fursa...

Je una PC? Kuna fursa...

mishe bwoy

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
116
Reaction score
34
Mim ni mjasiriamali mtandaoni....

Nina shida na vijana wawili wa haraka kwa ajili ya kufanya kazi katika blog zangu sana sana wanafunzi au mtu kama huna mambo mengi unaruhusiwa ila muaminifu...Malipo ni juhudi zako mwenyewe.

Utaratibu upo hivi Nakupa Ac za facebook na magroup yake then nakuandalia links za blog kazi yako inakua ni kushare tu katika hayo magroup ya facebook...

Vip utalipwa wewe? Utaratibu wa kulipana bila kusumbuana ni ukiniletea pageviews 1000 unapata 1500/Tsh soo kwa siku ukipata pageviews elf 10 unaondoka na elf15 yako.

Kama upo tayari au kwa maelezo zaidi Ni PM..Kikubwa uaminifu
 
ni fursa hio mkuu we uko wapi alafu hio hela unaweza kuongeza kidogo??
 
Viewers 10000 kwa siku labda uweke porno
 
Back
Top Bottom