Je, una miaka 40 au zaidi? Zingatia haya kwa afya yako

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,814
34,194
Miaka 40.jpg


JE, UNA MIAKA 40 AU ZAIDI? ZINGATIA HAYA KWA AFYA YAKO

Hongera, miaka 40 na kuendelea si mchezo! Kadri miaka inavyokwenda utakuwa unapata mabadiliko

katika mwili wako na hata kisaikolojia. Pamoja kuwa na afya njema ni muhimu kuzingatia yafuatayo kama

umeshafikisha miaka 40 au zaidi.

Katika kipindi hiki magonjwa ambayo yalikuwepo na hayakuonesha dalili au yanaanza huweza kujitokeza

kwa dalili kwa mara ya kwanza.

Zingatia yanayofuata:

1. Pata muda wa kupumzika na kupunguza shinikizo
2. Dhibiti au punguza uzito wako
3. Hudhuria kliniki au onana na daktari kwa ajili ya vipimo na uchunguzi
4. Kama una ugonjwa wowote, hakikisha unapata vipimo, matibabu na kisha zingatia hayo.
5. Pata lishe bora yenye virutubisho
6. Acha uvutaji wa sigara
7.Acha kunywa Pombe


Ukiwa na Shida yoyote ile unaweza kunitafuta Kwa
Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Back
Top Bottom