Je, umewahi kuwala samaki hawa?

Kama upo Dar au ukanda wa pwani, kula kolekole wa kuchoma halafu ulete mrejesho kwa kulinganieha na samaki wa ziwa Tanganyika
Ukitaka samaki watamu zaid na wenye ladha nzuri zaid ya wote wanapatikana ziwa nyasa tatizo ni uchache tu na hawapatikan kwa wingi ila ni watamu sana yaan hao tanganyika, victoria na samaki wabaharini hawatii mguu huko aisee.
Kama upo Dar au ukanda wa pwani, kula kolekole wa kuchoma halafu ulete mrejesho kwa kulinganieha na samaki wa ziwa Tanganyika
[/QUOTE
 
#5
Mkuu kuna huyu samaki kwa kiingereza anaitwa "bluefin tuna"ndio samaki gani hapo kwenye list,kwa anaejua please(ndio samaki ghali kuliko wote duniani)
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…