Je, umewahi kutokewa na hii kitu?

Je, umewahi kutokewa na hii kitu?

Joined
Jul 10, 2013
Posts
30
Reaction score
23
Habarini viongozi

Ni kama mara mbili hivi sasa nimekuwa nikishituka kwa kasi sana na kuhisi kama nimepigwa na shoti ya umeme.
Je..!! hili hunitokea mimi tu au pia kuna mtu amewah kupatwa na hii hali kama inayonipata mimi.

Nakaribisha michango kwa yeyote mwenye uelewa katika jambo hili
Naomba kuwasilisha..
 
Nyakati za baridi hali hiyo ni ya kawaida sana. Na hunitokea mm pia

Back
Top Bottom