je umewahi kushuhudia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je umewahi kushuhudia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkalagale, Oct 15, 2011.

 1. m

  mkalagale Member

  #1
  Oct 15, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hizi zawadi za mitandao ya simu za mkononi utasikia kuna yundai 100 mara lcd tv ziko mia utasikia tuma namba 15555 ili ujishindie je wewe mwana jf umewahi kushuhudia mtu kajishindia mtaani kwako au kusikia kutoka kwa mtu wako karibu kwamba kuna mtu amejishindia kitaa kwao labda mimi ndio sina bahati au ni usanii tu
   
Loading...