UtanismuliaTatizo linalokumba vijana wa 16-28 yrs.. Kikubwa zaidi hua ni Child Abuse. Mawazo hutokana na matatizo ya kisaikolojia yanayosababishwa na Child Abuse au Hofu.
I once there
Dada nakuja pm nashida na wwAisee pamoja na yote magumu niliyopitia sijawahi kufikiria kujiua, ugali mtamu wewe
Karibu mdogo wanguDada nakuja pm nashida na ww
Leo ss hvLini?
[emoji3][emoji3]Kufikiri kujiua?!
Ugali mtamu aisee
Hata kama maisha magumu ukifkiria utamu wa ugali tembere hapana kwa kweli[emoji3][emoji3]
Kweli kabisaHata kama maisha magumu ukifkiria utamu wa ugali tembere hapana kwa kweli