Je, umeshawahi kuwa na mpenzi Roboti?

Je, umeshawahi kuwa na mpenzi Roboti?

Kwenye kamchezo kenyewe ndo pana maroboti wengi
Mtu mpaka umwambie fanya hivi kaa hivi kama umemshikia remote
 
Kama mpenzi wako huwa hapigi simu hadi uanze wewe kaa ukijua unadate na Roboti.
Kama mpenzi wako anapenda kupokea na hataki kutoa huyo ni Roboti ndugu yangu!
Kama mkiwa on the baby kiuno chake kizito kama gunia la chumvi huyo ni Roboti.
Kama mpenzi wako unamnunulia vocha halafu anaku beep huyo ni Roboti!
Kama upo kwenye mahusiano na MTU ambaye analalamika kwa mwaka Mara 360 huyo ni Roboti ndugu yangu!

Wanaodate na maroboti waje hapo watoe dukuduku la Moyoni[emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Unajua mzungu sio mjinga kutengeneza roboti napenda ubadilishe maana kwanza
 
Back
Top Bottom