excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Jul 23, 2024 #1 Ni muhimu sana kuwa na kitambulisho cha Taifa, na ukishakipata kitunze vizuri kisifike katika mazingira yenye uharibifu. Je, umepata kitambulisho cha Taifa?
Ni muhimu sana kuwa na kitambulisho cha Taifa, na ukishakipata kitunze vizuri kisifike katika mazingira yenye uharibifu. Je, umepata kitambulisho cha Taifa?
Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,470 Reaction score 2,767 Jul 23, 2024 #2 Mimi nimepata ila sasa hiyo picha nilipigwa kama. Nilipigwa na Kasimu ka Basic yaani ka kasimu ka button NIDA Mungu anawaona
Mimi nimepata ila sasa hiyo picha nilipigwa kama. Nilipigwa na Kasimu ka Basic yaani ka kasimu ka button NIDA Mungu anawaona
S Special Seat Senior Member Joined Jul 21, 2024 Posts 172 Reaction score 302 Jul 23, 2024 #4 Mimi nijiandikisha pale Kawe ila Kila siku naambiwa havipo
M MlimaSayuni JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 6,590 Reaction score 11,812 Jul 23, 2024 #5 Excel said: Ni muhimu sana kuwa na kitambulisho cha Taifa, na ukishakipata kitunze vizuri kisifike katika mazingira yenye uharibifu. Je, umepata kitambulisho cha Taifa? View attachment 3050365 Click to expand... bora usiwe nacho kama ni hivi
Excel said: Ni muhimu sana kuwa na kitambulisho cha Taifa, na ukishakipata kitunze vizuri kisifike katika mazingira yenye uharibifu. Je, umepata kitambulisho cha Taifa? View attachment 3050365 Click to expand... bora usiwe nacho kama ni hivi
Gorgeous96 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2019 Posts 304 Reaction score 715 Jul 23, 2024 #6 Tangu 2017
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,084 Reaction score 6,089 Jul 23, 2024 #7 Vitambulisho havina ubora wala mahali popote pa kutumika. Cha muhimu ni kuwa na hati ya kusafiria (passport).
Vitambulisho havina ubora wala mahali popote pa kutumika. Cha muhimu ni kuwa na hati ya kusafiria (passport).
Escobber pablo JF-Expert Member Joined Jun 17, 2024 Posts 302 Reaction score 698 Jul 23, 2024 #8 H Excel said: Ni muhimu sana kuwa na kitambulisho cha Taifa, na ukishakipata kitunze vizuri kisifike katika mazingira yenye uharibifu. Je, umepata kitambulisho cha Taifa? View attachment 3050365 Click to expand... Baadhi ya ivi vitambulisho vilikuwa na dosari katika kuprint serikali imeagiza wananchi walioyo kumbana na hii changamoto wavirudishe na watapewa OG Attachments IMG-20240723-WA0003~2.jpg 32.4 KB · Views: 16
H Excel said: Ni muhimu sana kuwa na kitambulisho cha Taifa, na ukishakipata kitunze vizuri kisifike katika mazingira yenye uharibifu. Je, umepata kitambulisho cha Taifa? View attachment 3050365 Click to expand... Baadhi ya ivi vitambulisho vilikuwa na dosari katika kuprint serikali imeagiza wananchi walioyo kumbana na hii changamoto wavirudishe na watapewa OG
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,902 Reaction score 31,154 Jul 23, 2024 #9 bahati nzuri nilikula suti matata wakati napiga
Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,340 Reaction score 9,755 Jul 23, 2024 #10 Kitambo sana mkuu.. money talk
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,152 Reaction score 43,110 Jul 23, 2024 #11 Mimi wakati napiga picha nilikuwa nimevaa Polo tshirt ya JamiiForums
gammaparticles JF-Expert Member Joined Jan 9, 2024 Posts 1,406 Reaction score 3,882 Jul 23, 2024 #12 Mimi niko huku ughaibuni na nilimtuma mtu akanitolea freshi tu
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,084 Reaction score 6,089 Jul 23, 2024 #13 Escobber pablo said: H Baadhi ya ivi vitambulisho vilikuwa na dosari katika kuprint serikali imeagiza wananchi walioyo kumbana na hii changamoto wavirudishe na watapewa OG Click to expand... Zaidi ya miaka 3 tumefanya kazi ya kufuatilia vitambulisho na unakuja kukipata hakina ubora, halafu saiv watuambie tukavirudishe tena. Nonsense.
Escobber pablo said: H Baadhi ya ivi vitambulisho vilikuwa na dosari katika kuprint serikali imeagiza wananchi walioyo kumbana na hii changamoto wavirudishe na watapewa OG Click to expand... Zaidi ya miaka 3 tumefanya kazi ya kufuatilia vitambulisho na unakuja kukipata hakina ubora, halafu saiv watuambie tukavirudishe tena. Nonsense.
Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,340 Reaction score 9,755 Jul 23, 2024 #14 Manyanza said: Mimi wakati napiga picha nilikuwa nimevaa Polo tshirt ya JamiiForums Click to expand... Barkhasheikh umesahau
Manyanza said: Mimi wakati napiga picha nilikuwa nimevaa Polo tshirt ya JamiiForums Click to expand... Barkhasheikh umesahau
The Lost Boy JF-Expert Member Joined Nov 24, 2020 Posts 248 Reaction score 312 Jul 23, 2024 #15 Sijui me mimi
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,419 Reaction score 88,753 Jul 23, 2024 #16 Si ndiyo hivi vya NIDA au kuna vingine?
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,405 Jul 24, 2024 #17 Vimepoteza maana bora Pasport.
SweetyCandy JF-Expert Member Joined Sep 17, 2022 Posts 4,800 Reaction score 8,989 Jul 24, 2024 #18 Ninayo
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,081 Reaction score 23,702 Jul 24, 2024 #19 Mwaka wa saba huu nafatilia kitambulusho, hadi nimechoka kwakweli sijui niende wapi