Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 31,288
- 52,635
Amevaa mfuko wa Rambo kama jezi la Argentina, sasa anatafutwa ajulikane yuko wapi inaonekana wengi wanasema ni Iraq lakini hajapatikana bado.
Na nani, polisi, ndugu zake au nàni? Una uhakika anatafutwa?Amevaa mfuko wa Rambo kama jezi la Argentina, sasa anatafutwa ajulikane yuko wapi inaonekana wengi wanasema ni Iraq lakini hajapatikana bado.View attachment 318569
Kwenye mitandao wa TwitterAnatafutwa na nani?
Hapana ni kwenye mtandao wa Twitter ni international hunt ili ajulikane ni nani maana inasemekana imepigwa huko Dohuk IraqNa nani, polisi, ndugu zake au nàni? Una uhakika anatafutwa?
Ipo nchi nyingi sana mkuuHiyo mifuko ya rambo inapatikana sehemu yoyote nyingine tofauti na Tz kweli?
Sawa Mkuu nimekupata vizuri.Ipo nchi nyingi sana mkuu
Ameshapatikana tayari anaitwa Homin kutoka Dohuk, Kurdistan.Amevaa mfuko wa Rambo kama jezi la Argentina, sasa anatafutwa ajulikane yuko wapi inaonekana wengi wanasema ni Iraq lakini hajapatikana bado.View attachment 318569
I know, nimeona kapatikana AfghanAlishapatikana mkuu ni wa pakstani na messi amemtumia jezi original
"...Habari amepeleka ITV"alafu dogo mwenyewe hana hata habari