The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 836
Unajidanganya mkuu Kuna watu wana fight for their whole life na bado wanakufa masikinUmasikini unatengenezwa kama utajiri unavyotengenezwa. Utashi ni wako kuamua kuwa masikini au tajiri. Uchaguzi ni wako.
Sio laana kwasababu ni hali iliyobuniwa(sio kitu halisi)Tunapitia maisha magumu mpaka tunaamini waliokufa wamepumzika. Lau viongoz wetu wangejali watoto wa kimasikin leo ingekua tuna afadhal njaa, maradhi, nguo na viraka na kila aina ya taabu lakin nan anajali na nani alaumiweView attachment 3340262
umaskin ni laana ukiwa maskin ata akili unakosa pia 😀Tunapitia maisha magumu mpaka tunaamini waliokufa wamepumzika. Lau viongoz wetu wangejali watoto wa kimasikin leo ingekua tuna afadhal njaa, maradhi, nguo na viraka na kila aina ya taabu lakin nan anajali na nani alaumiweView attachment 3340262
Na Ata uwezo nan anakusiliza kwanumaskin ni laana ukiwa maskin ata akili unakosa pia 😀
Pigia mstari mkuu?Tunapitia maisha magumu mpaka tunaamini waliokufa wamepumzika. Lau viongoz wetu wangejali watoto wa kimasikin leo ingekua tuna afadhal njaa, maradhi, nguo na viraka na kila aina ya taabu lakin nan anajali na nani alaumiweView attachment 3340262
Kwanini upambane na umasikini? Hapo ndio kosa linafanyika hupaswi kupambana, unachopambana nacho ndicho kinakufuata.Unajidanganya mkuu Kuna watu wana fight for their whole life na bado wanakufa masikin
Natetea masikin tuwe matajirikwahiyo unataka kuutetea umaskini au ?
mkikosa mtetezi mmekwisha ,kwani ilikuwaje mpaka mnahitaji kujitetea?Natetea masikin tuwe matajiri
Picha hii ndio real definition of poverty, wako wapi Hawa nikatoe chochote kitu...wanatia huruma sana!Tunapitia maisha magumu mpaka tunaamini waliokufa wamepumzika. Lau viongoz wetu wangejali watoto wa kimasikin leo ingekua tuna afadhal njaa, maradhi, nguo na viraka na kila aina ya taabu lakin nan anajali na nani alaumiweView attachment 3340262
Ungeenda mbali zaidi Kwa kutaja angalau vituo kadhaa unavyovijua vilivyopo maeneo ya vijijini ungekuwa umesaidia sana! Kuna watu tuliishaacha kutoa kwenye nyumba za ibada, matoleo yetu tunaelekeza Kwa yatima hasa wanaotesekaNawaomben wenye uwezo Ata kidogo mtembele vituo vya kulelea mayatima Kama hasa hivi vilokuepo vijijini kama hutotokwa na machozi tofauti yako na bilisi ni pembe tu
Apa chuo tuna utaratibu wa kuchangia na kuepeleka kwa watoto mayatima yoyote anahitaji kutoa ni rahisi sana mbona naweza kumpa namba za accountUngeenda mbali zaidi Kwa kutaja angalau vituo kadhaa unavyovijua vilivyopo maeneo ya vijijini ungekuwa umesaidia sana! Kuna watu tuliishaacha kutoa kwenye nyumba za ibada, matoleo yetu tunaelekeza Kwa yatima hasa wanaoteseka
Mm na marafiki zangu tunapenda kwenda kutoa directly kituoni..Kwa kufanya hivyo tunapata hamasa ya kuendelea kutoa cozApa chuo tuna utaratibu wa kuchangia na kuepeleka kwa watoto mayatima yoyote anahitaji kutoa ni rahisi sana mbona naweza kumpa namba za account
Una nadharia yoyote ya kisayansi inayoelezea mchakato wa kuondokana na umaskini wa mtu mmoja mmoja?Kwanini upambane na umasikini? Hapo ndio kosa linafanyika hupaswi kupambana, unachopambana nacho ndicho kinakufuata.
Badala ya ku focus kwenye umasikini kwaninni usifikirie utajiri? Aliwazalo mjinga ndio linalomtokea.
Badilisha mitazamo, mienendo na fikra zako mambo yatabadilika.