Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Hii kitu sitaki itokee tena katika maisha yangu ilinitesa sana, Yaani mtu furaha yake ni kukuona unateseka tu kwaajili yake.
FB_IMG_16258206764831175.jpg
 
But the ad said that till death do us apart.. Tilll the end of time.😢😢
FB_IMG_16258207142046373.jpg
 
Mimi siamini watu mpaka mm mwenyewe sometimes huwa naquestion hata maamuzi yangu.... Kuna wakati naamini what I know about me is a lie.... I am working hard to know myself......

Assume niliwahi kumfukuzia mtoto wa watu for 2 good years na siku aliponikubalia... nikamweka kwenye mizani upya... nikafanya critical analysis nikaona nilikosea kumfukuzia NIKAMWACHA.
 
yna2,
I got one friend tunaefanana kila kitu, mawazo,vitu tunavyopenda,tumezaliwa siku ,tarehe na mwaka mmoja..tumesoma shule moja,Tumepata maksi za aina moja toka primary..Tumenusurika kufa pamoja kwa ajali.
Sikuwahi kujua rangi yake hali. Nimemjua sasa
Na vipi hamjajua pamoja
 
Best yangu tulijuana mara ya kwanza mwaka 1998 tulidumu hadi tukawa rafiki ndugu.Weee yeye alianza kupata life, kazi gari hapo kwenye ndoa since kutoka kanisani mpk leo hatuna mawadiliano.

Kila mtu ana familia sasa toka 2012 mpk leo hatuwasiliani wala watoto wetu hawajuani na woote tupo mji mmoja.
Na Mungu alivyo wa ajabu hata kukutana kwa bahati mbaya hatukutani.
 
Love it's run by people with with agendas and agendas change. 😢
That's, wasn't the end of line we imagined
FB_IMG_16268935594116006.jpg
 
Back
Top Bottom