Je ulishawahi kukutana nae?

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,367
9,744
Hii picha nimeona niilete huku baada ya kuikuta sehemu sehemu dah ikanikumnbusha zamani sana mimi nilikuwa naogopa Vunjajungu tu yaani kama yupo njiani basi siku ndio inakwa ishaharibika na sipitiroad iyo katu kwani niliambiwa vunjajungu akikugusa basi hakuachii hadi mjomba wako tu ndio anaachia lol utotoni sikuwahi ishi na mjomba karibu so nilihofia kupita maelezo japo hadi ukubwani nikimuona nastuka japo siogopi nampita tu

Pia nilishawahi chezea kifaranga mbona mziki wa Kuku niliujua dono dono dono


Tizama huu Msala wa Dogo.. ila Mtaniwia Radhi.....

393832_356702064356247_851575607_n.jpg


Haya Madenge nilipoenda kanda ya Ziwa pale Shinyanga lazima utayaona na Mwanza pia nadhani yapo Lake zone yote..

Dogo nadhani anaona kaa Mwisho wa Dunia ndio Ushafika! hehe
 
Usifanye mchezo na utoto..na unaathiri sana,mi mpaka leo karibia 40 lakini huwa sina amani nimuonapo ng`ombe na ukitaka nibadilishe njia basi awepo ng`ombe mbele .. hahahahahahah
 
Usifanye mchezo na utoto..na unaathiri sana,mi mpaka leo karibia 40 lakini huwa sina amani nimuonapo ng`ombe na ukitaka nibadilishe njia basi awepo ng`ombe mbele .. hahahahahahah

Alaa ng'ombe si mchezo ila mimi siwaogopi nilishawahi ona akimpiga mtu teke la nyuma dah Kwa Upande wangu ng'ombe mwenye mapembe makubwa huyo si rafiki yangu kabisa...
 
Back
Top Bottom