Je, ulipaji kodi wa kampuni ukoje?

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Naomba kufahamu, iwapo nitafungua kampuni yangu nitalipa Kodi kwa utaratibu sawa na ambaye hana kampuni?

Nimesikia mara kadhaa kua kampuni inalipa Kodi kulingana na faida inayopata, je ni sahihi?

Asante.
 
Kodi ni zilezule tu, ila mahesabu ya kila mwaka ni lazima na muhimu sana. Weka kumbukumbu zako vizuri.
 
Kwa wasimamizi wetu wa kodi wengi wanaamini ukiwa na kampuni (limited) biashara yako ni kubwa sana, hivyo wanatarajia Kodi kubwa! Ndiyo maana wahindi wengi wana biashara kubwa lakini siyo kampuni. Wanacheza na akili za watoza ushuru. Nakushauri fungua kampuni.
Sawa mkuu, ila bado sijapat la jibu apa jf
 
Back
Top Bottom