Je, ulijisikiaje siku ya kwanza ulipoijaribu bangi? Mwenzenu ilikuwa hivi...

Hahaaa mie nililala siku nzima afu naona kama naelea hewani yaani mwepesiii halafu nilivyoamka nikabeba ndoo kubwa ya maji bila kujua naipeleka wapi wala sikuishikilia!
 
Nikiwa katikati ya kundi langu la kijiweni huko kwetu kunaitwa Jamaica camp nikasema acha na mimi nijaribu kuvuta leo hiyo bangi nione.

Duh nikavuta bonge la msokoto wa bangi kilichofuata akipita kuku au inzi mimi kucheka tu, baadae nikajisaidia haja kubwa tena nilijificha nyuma ya mchaichai nikihisi nipo kwenye bonge la msitu na nilipomaliza nilikula ugali mkubwa sana haikuishia hapo baadae nikawa nikitembea barabarani nikawa nahisi barabara inatitia na nilipolala kitanda kikawa kinazama.

Sitaki bangi tena.

baada ya kujisaidia haba kubwa ulinawa kweli? nahisi harufu
 
Duh sitamani bangi kabisa siku ya kwanza nilipojaribu nilipata kizungu zungu cha hatari nlipolala kitanda kilikuwa kinazunguka nkapata uoga hapo mapigo ya moyo yalikuma yanaenda kasi sana...nlipata shida sana siku ile sitaman hata kukumbuka na sitaki bangi tena tena tena na tenaaaaaaaaaaa
 
"Labda hapo zamani kidoogo nilikuwepo na bado mpaka hii leo inanipa misimamo".Mbona hata baadhi ya wakubwa walishapitia
 
3615613977_14d8b14ed9.jpg
 
Duh sitamani bangi kabisa siku ya kwanza nilipojaribu nilipata kizungu zungu cha hatari nlipolala kitanda kilikuwa kinazunguka nkapata uoga hapo mapigo ya moyo yalikuma yanaenda kasi sana...nlipata shida sana siku ile sitaman hata kukumbuka na sitaki bangi tena tena tena na tenaaaaaaaaaaa

Hebu njoo usome hii post yako kwa umakini.
 
Bangi iheshimiwe, nimepungua uzito sana na kitambi kimeisha bila kutumia diet yoyote. Kamsokoto kadogo wiki Mara moja. Wife ananiuliza mbona Nina furaha sana na inimekuwa hodari kwenye sakramenti takatifu? Sijuhi nimwambie siri hii,
 
Haha Nakumbuka Ilikuwa Jumamos Naenda Ground Kuchez Kikapu Tukiwa Hapo Tnasubir Kufnya Mazoez Akaja Rafik Ang Akaniomb Nimsindikiz Akavute Akanambia Asip Vuta Hawez Kupga Dunky (kubembea Kwnye Goli )nkamuulza Kumbe Ukivuta Huwa Unapaa? Akanibu Yes Man Nkamwambia Ngoja Tujaribu ,jamaa Alisokota Bonge La Bang Tkavuta Ndan Ya Dak 5 Baada Ya Kukalibia Kumaliza Nkasimama Nkakimbia Kwenda Kwenye Uwanja Wa Vollybal Nkaomb Wanipe N Serv Aisee Nilikapig Kale Ka Mpir Uwelekeo Wa Kwenda Nyuma Badala Ya Mbel Then Nkahs Kama Watanio Nimelewa Ikabid Nikimbie Kwnda Uwanja Kwet Ile Kufka Kila Mtu Anaulza Nimekuaj Rafk Ang Alv Ona Nazidsha Maweng Akanambia M Leo Sichez Nimeambiwa Natakiw Nkamsaidie Maza Kusaga Unga Wa Lishe Nkamwambia Anipelek Home Akagoma Jamaa Mmja Akashaur Nisimame Katkat Ya Uwanja Niimbe Wimbo Wowt Kwa Saut Kubwa Bang Itakata, Nkaimba Kwa Saut Kumbwa Nkahs Imepungua Nkawambia Waingie Tcheze Hamna Haja Ya Mazoez ,nakumbua Nilikuwa Nafunga Vikapu Ya Hatar Yan Nalion Gol Fup Kama Naligsa...Kwa Sasa Nimeokka
 
Back
Top Bottom