S Sixcom New Member Joined Jul 26, 2015 Posts 2 Reaction score 0 Oct 16, 2015 #1 Great thinkers wa Jf naombeni expirience na ushauri juu ya ukumbi mwenye uwezo wa kuchukua watu 300 tu, na jinsi utakavyoingiza pesa km kitega uchumi.... TUSHAURIANE
Great thinkers wa Jf naombeni expirience na ushauri juu ya ukumbi mwenye uwezo wa kuchukua watu 300 tu, na jinsi utakavyoingiza pesa km kitega uchumi.... TUSHAURIANE
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,240 Oct 16, 2015 #2 Mkuu inategemea ni ukumbi wa namna gani ..upo location gani..na unajulikana kwa kiasi gani...
S shaurimbaya JF-Expert Member Joined Oct 3, 2013 Posts 1,915 Reaction score 2,339 Oct 16, 2015 #3 bonge ya business hiyo hasa ikiwa kwenye good location
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,031 Oct 16, 2015 #4 Hivi kwa watu 300 ni kama span kiasi gani ya hall wakuu
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,031 Oct 16, 2015 #5 dabo said: Mkuu inategemea ni ukumbi wa namna gani ..upo location gani..na unajulikana kwa kiasi gani... Click to expand... Mkuu hapo unamaanisha nini? hebu fafanua kidogo basi
dabo said: Mkuu inategemea ni ukumbi wa namna gani ..upo location gani..na unajulikana kwa kiasi gani... Click to expand... Mkuu hapo unamaanisha nini? hebu fafanua kidogo basi
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,916 Reaction score 15,974 Oct 16, 2015 #6 Ni bonge la investment, uweke vizuri tu na uwe katika location inayofikika
Kaundime2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 1,085 Reaction score 461 Oct 17, 2015 #7 jamani na mie natamani hii kitu. hivi ni vitu gani muhimu vinatakiwa kuwemo zaidi ya hall tu