Bahati nzuri mi sio msaliti.
Welcome
Beggars are not choosers
kama usaliti wa bahati mbaya unaweza kusamehe
Nawe unakuhusu kwa sababu na wewe ni mtarajiwa
ha ha ha kwa hiyo umekubali akupe karaha hapa duniani
Muhudumie zaidi ili asiwe anakuudhi
Duh! Nakubali kakaha ha ha hapo lazima nichukue mpya,kwa sababu itakuwa inanisitiri vizuri;lakini kama aibani maeneo muhimu..naweza nisiichukue nikabaki na yazamani
Dah acha tu. Bora uhaiha ha ha kwa hiyo umekubali akupe karaha hapa duniani
Eeh! Kumbee..nilikuwa sijijui Kama mtarajiwa etiNawe unakuhusu kwa sababu na wewe ni mtarajiwa
ha ha ha njoo uwe mke wa tatu
huwa inafikia wakati,mtu anakubali matokeo tu ingawa huwa si vizuri
Come come, hutojuta.
Mkuu niko na swali private kidogo, niruhusu PM if it's okay with you.
Mara 100 nibaki nilivyo ila si kuwa mke wa tatuha ha ha njoo uwe mke wa tatu
kuna raha yake mkuu,we kubali tu
unapenda uwe wa ngapi?