Je uko kwenye kundi gani la MAHABA?

Je uko kwenye kundi gani la MAHABA?

ha ha ha ha Bujibuji ongeza yangu itakuwa na kumi na moja kwa maana nazimiaga .............
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu ya 7 ndiyo ninayoipendaga kwani hiyo inatunza heshima kwa wachezaji wote wawili kwani wapitanjia hawawezi kusikia mechi ikiendelea na hivyo kutovutika kupiga chabo.
 
Tuwe tunaangalia tusipitilize sana kujeruhi hisia za watu
 
kweli huu ulimwengu umevaa yebo yebo, na kaptula ya rangi nyekundu, hiki nini nasoma sasa,
 
1, 2, 4, 6 zinahusika kutegemeana na mwenza wa wakati huo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom