Je, ukichukua Vitu hivi katika Ndege pale ikitua tu unakoenda unakuwa Umeiba au Umechukua kile ambacho Umekilipia katika Nauli?

Unabeba tu mimi nilitembea na mataulo wakanisimamishia reception
Matauro huondoki nayo, unachoweza kuchukuwa ni hizo shampoo, na pakti za coffee, pakti za maziwa, sukari and likes, dawa ya meno, miswaki lakini siyo vitu vingine.
 
Ndege za kimataifa kwenye final destination inashusha kila inapakia banka mpya kwahiyo wewe beba tu.

Ila Fastjet mimi nilikuwa napanda na chapati zangu maana mule kila kitu wanauza, hiyo coffe, soda, maji, korosho kila kitu ni cash, nadhani kwa sababu bei yao ya ticket ilikuws rafiki watu hatukumind,.
 
Duh... Mkuu unabeba mpaka Chapati za kutoka Uswahili Kwetu na unaruka nazo Angani hivyo hivyo na ukiwa mkavu huku Watu wakikukodolea tu?
 
Nitafutie Mavuzi ya Simba Dume na tena hakikisha unayakata ( unayachukua ) pale akiwa Mawindoni na ana Njaa ya Kitoweo ndiyo huwa mazuri.
🤣🤣🤣🤣🤸‍♂️ mkuu hautaki niende kwa malkia bali unataka niende kuzimu

Njemba kakuletea tissue na sabuni pekee mimi unataka mavuzi ya Simba. Ama kweli kua uyaone
 
🤣🤣🤣🤣🤸‍♂️ mkuu hautaki niende kwa malkia bali unataka niende kuzimu

Njemba kakuletea tissue na sabuni pekee mimi unataka mavuzi ya Simba. Ama kweli kua uyaone
No Pain No Gain.
 
Hilo pia ni sahihi, ila uoga umezidi kwa vijana wa sasa, Mwl angelikuwa muoga hivyo tusingefika wapi

Wanafuata mkumbo wa wasomi kutoka makabila mengine. Kuna Wazanaki ninaowajua wamebaki na usomi wao ujasiri umepotea kabisa
 
Sasa hapo utakuwa unajitafutia matatizo ya kujitakia kwani nijuavyo mimi kuwa zile toilet papers ukizichukua na kwenda kutumia nyumbani zinachubua mkundu na kukufanya utamani kudukuliwa nyuma, zenyewe zimetengenezwa tu kwa ajili ya kujichambia angani na si zaidi ya hapo.
 
Waswahili wenzangu uharibifu mtupu sawa na akapika wali mpaka akwangue sufuria kutoa ukoko ndipo roho iwe nyeupe.
 
Kenya airways,headphones,unaziacha,kitu ikikaribia kutua,wanazikusanya zote,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…