Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,445
Sina muda na wewe maana utachafua title yangu JF....Unaweza kufunda wewe au unajishaua tu? Ndo neno umeona la kunambia hilo? Fikiria kabla ya kuandika...
Usiyejijua kama u mke au mme! Khaaa! We fikra zako zi wapi? Uumeni au ukeni? Utajiju!
Mkuu nini tena>?
nimeishia kuwa mchekaji badala ya mchangiaji.
Faiza foxy na Magulumangu mmenchekesha na hiyo mipasho yenu...lol...
Kimeumana!
Mmmm,uume wa mwanaume na uke wa mwanamke unatokana na maumbile yao ya makojoleo
Msamehe bure mkuu, si unaona bado mgeni humu??unajua sweetlady huyu dogo hajuilolote sasa najaribu mwelezea haelewi, hili jamvi la mapenzi jamani si wenyeji wanajuana jinsia zao au katika post tu unajua ni me au ke, halafu anauliza jinsia tena duh....
Msamehe bure mkuu, si unaona bado mgeni humu??