lwampel
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 249
- 55
Habari wana jf. Kuna kipindi flani niliwahi kumsikia ndugu yangu m1 akizungumzia juu ya ugonjwa unaoitwa NDEKAMBOMOLI, ni ugonjwa ambao mtu huwa anashindwa kulenga kinyesi chake katika shimo la choo, hasa vyoo vya shimo, yaani kujisaidia pembeni, pia aliendelea kusema kuwa mtu mwenye ugonjwa huu(ndekambomoli)anaweza kumuambukiza mtu mwingine pindi mtu atakapoingia kujisaidia haja kubwa mara tu mtu mwenye ugonjwa huo atakapotoka. Wana jf, naomba msaada wenu ili nipate kuelewa juu ya huo ugonjwa, je? upo?.