Je!? Ugonjwa huu upo?

lwampel

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
244
46
Habari wana jf. Kuna kipindi flani niliwahi kumsikia ndugu yangu m1 akizungumzia juu ya ugonjwa unaoitwa NDEKAMBOMOLI, ni ugonjwa ambao mtu huwa anashindwa kulenga kinyesi chake katika shimo la choo, hasa vyoo vya shimo, yaani kujisaidia pembeni, pia aliendelea kusema kuwa mtu mwenye ugonjwa huu(ndekambomoli)anaweza kumuambukiza mtu mwingine pindi mtu atakapoingia kujisaidia haja kubwa mara tu mtu mwenye ugonjwa huo atakapotoka. Wana jf, naomba msaada wenu ili nipate kuelewa juu ya huo ugonjwa, je? upo?.
 

lwampel

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
244
46
Kama ugonjwa huo upo basi maskonga kwet watakuwa waathirika no1 manaake ukingia toilet tu unakaribishwa na kitu mlangoni, tena cha adabu!
 

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,530
mkuu samahani hizi nini m1 na no1 ni hilo tu..

huo ugonjwa kweli upo au unahisi unaweza kuwepo..
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom